Grader
JF-Expert Member
- Feb 23, 2009
- 445
- 64
Kuna jamaa yangu mmoja ananiomba ushauri,nikaona bora nami nipate ushauri wenu ili tumsaidie;
Huyu jamaa ameoa yapata 2yrs now lakini huyu jamaa na mke wote wanafanya kazi posta-Dsm wanakaa Kitunda. Kwa sababu usafiri ni shida inawalazimu kuamka alfajiri saa 10 na mke huwa wa mwisho kurudi nyumbani baada ya kazi saa 4 usiku.
Huyu mwanaume akiulizia unyumba yule mwanamke anampangia ratiba wakutane jumapili na sharti ni mara moja tu wastani ni mara 52 a year.
Sasa kwa sababu yule jamaa ni rijali hatosheki, tutamsaidiaje kimawazo?