Mapenzi haya

Mr Mikazo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2016
Posts
1,594
Reaction score
800
Halow!..... Eeeeh m mzima cjui ww......... Eeeh mwambie mapenz hata walioyaanzisha yaliwatesa......... Eeeh nd hvo bwana kwel.......ndio kk......aaaaaah kweliiii.........eeeeeeh ndo hvo nmeoa saiz nna watot wawil wanapasua mbao kawetere kk........hahahaha nliwah kuzaa ndio kk....... Sawa ahsante ila mapenz yanaumiza ucjarb kaka........ Mpende sana anaekupenda na anaeumia juu yako me yalinkuta ila nlivumilia maan marafk walinisapot now nmesahau....unasema? Ckuckii kak kaa penye network panda hata juu ya mti kak..... Hapo nakupata kaka................. Nayy katendwa?.......... Hahahahahaha [HASHTAG]#yohana[/HASHTAG]? [HASHTAG]#malain[/HASHTAG]?......... Wote walitendwa? Dah ngum sana kaka............ Had [HASHTAG]#herbet[/HASHTAG]? Hahahahahahaha [HASHTAG]#mbilijero[/HASHTAG] alitendwa nae? Hahabahahahahhhaha mapenz yameingiliwa kak,........dah dakika zmekata kk ngoja nfuat vocha kwa [HASHTAG]#gellard[/HASHTAG] kk nkimkut ntakucal bt uctoke juu ya mti hapo............ Me npo teku huku nafuatilia kaz kwa [HASHTAG]#mboma[/HASHTAG] huk labda atanipa kaz kk......... Cjapata kaz bado kk labda ndo maana nmeachwa c unajua no money no love kak.......... Ndio ntashukur ndug yangu maana [HASHTAG]#gibo[/HASHTAG], # huruma [HASHTAG]#bukuk[/HASHTAG] walishapat kaz kk c unawakumbuka? Hahahahahahahahaha ndo hvo kak...................... Bac tchao kk........... Haloo halooo cjakuckia hapo kaka........ Anhaaaaa ulkuw unasema uck mwema? Poa kk
 
Hivi ni lazima kupost kitu humu ndani?
 
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ivi kweli inaweza kuwa bangiii au mapenzi yenywe nd ayooo??
 
Hahahahaha mbn mnayakashif mawazo yangu nyie? Labda najifunza uandishi?
 
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ivi kweli inaweza kuwa bangiii au mapenzi yenywe nd ayooo??
Hahahaha
 
Mkuu umeweka nzi kwenye mfuko wa barafu huku anachezea govi au?
 
nimecheka sana labda na mimi nimevuta bhangi, jamaa hujisomi kwa hili bandiko lako.
 
Hahahahahaha hujui tu yalyonikuta mpak nkajikuta nimeandka hvo, mapenz haya yaache tu ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…