Mr Mikazo
JF-Expert Member
- May 26, 2016
- 1,594
- 800
Halow!..... Eeeeh m mzima cjui ww......... Eeeh mwambie mapenz hata walioyaanzisha yaliwatesa......... Eeeh nd hvo bwana kwel.......ndio kk......aaaaaah kweliiii.........eeeeeeh ndo hvo nmeoa saiz nna watot wawil wanapasua mbao kawetere kk........hahahaha nliwah kuzaa ndio kk....... Sawa ahsante ila mapenz yanaumiza ucjarb kaka........ Mpende sana anaekupenda na anaeumia juu yako me yalinkuta ila nlivumilia maan marafk walinisapot now nmesahau....unasema? Ckuckii kak kaa penye network panda hata juu ya mti kak..... Hapo nakupata kaka................. Nayy katendwa?.......... Hahahahahaha [HASHTAG]#yohana[/HASHTAG]? [HASHTAG]#malain[/HASHTAG]?......... Wote walitendwa? Dah ngum sana kaka............ Had [HASHTAG]#herbet[/HASHTAG]? Hahahahahahaha [HASHTAG]#mbilijero[/HASHTAG] alitendwa nae? Hahabahahahahhhaha mapenz yameingiliwa kak,........dah dakika zmekata kk ngoja nfuat vocha kwa [HASHTAG]#gellard[/HASHTAG] kk nkimkut ntakucal bt uctoke juu ya mti hapo............ Me npo teku huku nafuatilia kaz kwa [HASHTAG]#mboma[/HASHTAG] huk labda atanipa kaz kk......... Cjapata kaz bado kk labda ndo maana nmeachwa c unajua no money no love kak.......... Ndio ntashukur ndug yangu maana [HASHTAG]#gibo[/HASHTAG], # huruma [HASHTAG]#bukuk[/HASHTAG] walishapat kaz kk c unawakumbuka? Hahahahahahahahaha ndo hvo kak...................... Bac tchao kk........... Haloo halooo cjakuckia hapo kaka........ Anhaaaaa ulkuw unasema uck mwema? Poa kk