BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Kuna bidada next door kutokana na wenge la upwiru nikaweka kumbe mtoto wa watu kanogewa akaja kwenda kwao huko mji kasoro Sasa communication zikaendelea full kujibebisha mi namchora tu.
Sasa mwaka jana akaleta pigo za kumtumia nauli aje kula sikukuu Dar Es Salaam Sasa nikafanya tathmini kutuma nauli na mzigo hujauelewa ni uongo bibie kaforce wewe hata kama huna nauli mi nitakuja na nauli yangu means yake mhuni nikaona nothing to loose anatumia pesa yake kunileta mzigo basi hii ni win win situation nikasahau jinsi nitakavyokuwa damaged kisaikolojia.
Hayawahi hayawahi hatimaye yamekuwa mtoto kaja picha linaanza kwenye game mtoto anakataa nisivae kondomu kwa Imani nikapita kavu Sasa wakati wazungu wanakuja mkubwa nikapull out eeh ananijia juu kwa nini nimemwaga nje aisee akanitoa kwenye mood ikabidi nilale akabaki anajiongelesha jinsi alivyojitunza kipindi kirefu kwa ajili ya kukutana na mimi hapo natamani kumuuliza Moro unarudi lini ila naona atatafsiri nimemfukuza nikakausha.
Asubuhi nimeenda kwenye harakati zangu za mtu mweusi lakini sina mzuka wa kurudi ghetto nikabuy time nirudi muda umeenda ile nimerudi nimekuta kafanya usafi baadhi ya nguo zangu kafua na mashuka lakini I'm not happy akanikumbatia eti mpenzi wangu karibu mie moyo unasema what the
I'm very disappointed kuruhisu hichi kitokee Kila nikijaribu kuwa mnafiki ili mambo yaendee roho inakataa ndio maana wahenga walisema mapenzi hayalazimishi Mimi mwenyewe nishakuwa kwenye relationship na mabinti ambao waliniona underdog the moment najua hapa naforce upendo najiweka mbali nao immediately.
Mapenzi yanatafsiri nyingi lakini mapenzi matamu ni Yale ambayo energy unayoitoa inabidi iwe the same na energy unayopokea.