Mapenzi hayana Google, vijana jifunzeni kwa watu walio watangulia

Mapenzi hayana Google, vijana jifunzeni kwa watu walio watangulia

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
Sio maneno yangu ni maneno ya huyu Kaka anaeongea Sana 🙆🙆

Anasema Eti vijana Mapenzi jifunzeni Kwa wakubwa waliowatangulia Umri, sio mnaenda Google au Porn Hub

Ila huyu Kaka anaongea balaa, kiru 🏃🏃🏃
 
Wazaramo wote mapepe tu dishi limeyumba
Tuombeni babu zenu tuwaondolee laaana

Ngwa'angaluka!
 
Back
Top Bottom