Mapenzi hayana komando

Mapenzi hayana komando

Kweli mapenzi hayana komando nimeamini.

Yaani mtoto wa 2000, tena ni mchepuko tuu ananipiga kofi kisa nimemuacha sehemu kumuwahi kumpokea wife, kwani alikua safarini.

Eti anasema simjali kwani hata kama ni wife si nitamkuta nyumbani tuu. Kweli mapenzi hayana komando mtoto wa 2000?
😂😂😂😂
 
kuna mtoto mmoja age 19 tulikuw room tunapiga story ghafla akanishika tako akasema baby tako lote ili unakula nini chips au kitimoto

aseeeee nilibadilika nikawa kama simba hasira kama zote ,nilimpa ngumi za kutosha badae akaniomba msamaha.
🤣🤣🤣🤣
 
Hv msichana anaanzaje kukupiga kofi?
Au ww ni mwanaume wa Dar!
 
Kweli mapenzi hayana komando nimeamini.

Yaani mtoto wa 2000, tena ni mchepuko tuu ananipiga kofi kisa nimemuacha sehemu kumuwahi kumpokea wife, kwani alikua safarini.

Eti anasema simjali kwani hata kama ni wife si nitamkuta nyumbani tuu. Kweli mapenzi hayana komando mtoto wa 2000?
kubwa zima hovyooo
huyo wa 2000 si mtoto wako kabisa alafu unajisifia ujinga
 
Kweli mapenzi hayana komando nimeamini.

Yaani mtoto wa 2000, tena ni mchepuko tuu ananipiga kofi kisa nimemuacha sehemu kumuwahi kumpokea wife, kwani alikua safarini.

Eti anasema simjali kwani hata kama ni wife si nitamkuta nyumbani tuu. Kweli mapenzi hayana komando mtoto wa 2000?
Mbna mkubwa miaka 21 mkuu
 
kuna mtoto mmoja age 19 tulikuw room tunapiga story ghafla akanishika tako akasema baby tako lote ili unakula nini chips au kitimoto

aseeeee nilibadilika nikawa kama simba hasira kama zote ,nilimpa ngumi za kutosha badae akaniomba msamaha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yan ujinga wako ndio unakuja kusingizia mapenzi? Ebu kuwa na heshima bas
 
Inauma sana mtoto wa 2000 anakwambia mtu mzima hivi unajielewa kweli wewe ? na inabidi uwe mpole ili ule mbususu unasema najielewa mama.
 
kuna mtoto mmoja age 19 tulikuw room tunapiga story ghafla akanishika tako akasema baby tako lote ili unakula nini chips au kitimoto

aseeeee nilibadilika nikawa kama simba hasira kama zote ,nilimpa ngumi za kutosha badae akaniomba msamaha.
Hahahahaha watu mnapitia mazito.
 
kuna mtoto mmoja age 19 tulikuw room tunapiga story ghafla akanishika tako akasema baby tako lote ili unakula nini chips au kitimoto

aseeeee nilibadilika nikawa kama simba hasira kama zote ,nilimpa ngumi za kutosha badae akaniomba msamaha.
Tuma picha ya tako lako nione
 
kuna mtoto mmoja age 19 tulikuw room tunapiga story ghafla akanishika tako akasema baby tako lote ili unakula nini chips au kitimoto

aseeeee nilibadilika nikawa kama simba hasira kama zote ,nilimpa ngumi za kutosha badae akaniomba msamaha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom