Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
Na ukakataaNilipokuwa na miaka 16, nilitongozwa na mmama mwenye miaka 39
Nilipokuwa na miaka 16, nilitongozwa na mmama mwenye miaka 39
Ndio muamini ule msemo wa WANAUME TUMEBAKI WACHACHE na kati ya hao wachache waliobaki HAKUNA MUOAJI!Mwanamke mwenye umri wa miaka 60 ameolewa na mvulana wa miaka 9.
"""Mwanamke huyo amesema Mapenzi hayana Umri, ameongeza kwa kusema wote wanaomsema na kumdhihaki hawajakutana na Mapenzi ya Kweli""
Hongereni [emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Unasemaje kuhusu hili.. [emoji849]View attachment 2223610
Usitake kusema kuwa hukukubari!Nilipokuwa na miaka 16, nilitongozwa na mmama mwenye miaka 39
Yaani wanakuwaga na nyodo hao mwisho wake majonzi tuu...anyways vizuri tunaishia kuwagegedaNdio muamini ule msemo wa WANAUME TUMEBAKI WACHACHE na kati ya hao wachache waliobaki HAKUNA MUOAJI!
Miaka yote hiyo 60 tokea kuzaliwa kwake hakubahatika kuolewa kutikana na zile kauli za NAHITAJI MWANAUME MWENYE GARI! Kwa sasa amepata funzo, hata mwanaume wa kujiegesha kwake kamkosa, bora atafute sehemu ya kuegamia ili kuuthibitishia ulimwengu kuwa naye aliolewa! Nasubiri kijana afikishe miaka 21 avunje ndoa!
Ujumbe:
Wanawake acheni dharau pale mnapopata nafasi za kuolewa! Zitumieni ipasavyo maake mko wengi saaaana hadi kero!
South, ila ni ya zamani sana, almost 10yrs ago.Aisee!! Ni wapi huko?