Mapenzi hayana umri

Mapenzi hayana umri

afadhali huyo mama kuliko yule mganga wa Katavi aliyewapaka mafuta mwili mzima watoto 6 kisha kuwaingilia kinyume na maumbile
 
Sipati picha kama angekuwa ni mwanaume amerukwa akili akaoa kabinti ka miaka 9 tena kwa harusi.
Dunia nzima ingepiga kelele kulaani, by now mtu angekuwa Lock up.
Kweli kabisa eti Mkuu.
 
Back
Top Bottom