Mapenzi,heshima na urafiki

Mapenzi,heshima na urafiki

london1

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2011
Posts
430
Reaction score
943
Habari zenu wana jf,leo napenda kuwasilisha mada kuhusu mapenzi,heshima na urafiki kati ya watu hasa wa dini tofauti.kipindi hiki ambacho nchi yetu tz ina shutuma nyingi za udini na hata muungano unapelekwa kwenye udini naona nipate mawazo ya wengi kuhusu hii mada. Kwa ufupi napenda wana jf mtoe kumbukumbu ambayo unayo ya mapenzi,heshima au urafiki ambayo ushawahi kuonyeshwa na mpenzi/rafiki au hata jirani wa dini tofauti,namaanisha kitu ambacho kimekugusa sio mapenzi y kununuliana bia au kumpisha mtu kiti kwenye basi.namaanisha mtu wa imani nyingine kwenda 'beyond call of duty' kukuomyesha heshima/urafiki au mapenzi hasa pale unapotaka nafasi ya kufanya mambo yanayohusiana na dini yako.Labda tukilichambua hili tunaweza kurudisha heshima na upendo miungoni mwetu bila kujali dini ya mwengine,tukitilia maanani ingawa dini huwa tofauti lakini nia ni moja.
 
tunafunga ndoa na kuzaa watoto daily bila kujali dini
 
Halafu hao wadini ni wachache sana, sema tu they know how to shout!
Wasio wadini hawaingei kabisa.


ukitaka kujua watu wana kelele tu
we wafuatilie tu 'life zao binafsi'
utakuta hakuna cha dni wala nini...

full dhambi kama wengine,lakini majukwaani kelele nyiingi...
 
ukitaka kujua watu wana kelele tu
we wafuatilie tu 'life zao binafsi'
utakuta hakuna cha dni wala nini...

full dhambi kama wengine,lakini majukwaani kelele nyiingi...

kweli kabisa kaka TB
 
Back
Top Bottom