Mapenzi: Jinsi ya kumtongoza mwanamke unayemtaka na ukampata kwa urahisi

Ukweli ni kwamba unaweza ukawa na pesa magunia kwa magunia lakini kumbuka hutembei nazo na utazokuwa nazo zipo mfukoni hazionekani hivyo hebu mnaotuambia pesa pesa tufafanulieni basi
 
Duh! Sjatongoza cku nyingi sana kama miaka 7 iliyopita ila had sasa nawatafuna balaa km basi tatu za arusha dar zmeshafika
Toba...[emoji87] [emoji87] [emoji87]
Nenda kapime aiseeee...[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Kuna mbinu moja hivi huwa napenda kuitumia nikiwa club ukiicheza vizuri utajikuta unaitumia mara kwa mara.

Umeshamuona mtoto wa ukweli na unataka utoke nae fanya hivi, mfate ukiwa na full confidence mpe salamu fupi mfano, "Mambo?" Akishajibu poa au asipojibu salamu iishie hapo kisha mwambie hivi kwa sauti ya mahaba na yakunong'ona 'usifikirie jinsi mikono yangu nitavyokuwa nimekukamatia kiuno chako utapokuwa ume... na .... imesimama barabara huku kichwa chako nimekilaza juu ya mto majirani wasisikie utavyokuwa unaguna.

Nimekuambia hivi kwasababu nimekugundua ni mtu unaye enjoy good sex, relax and letting go'. Hapo kazi umemaliza nenda kakae na washkaji sehemu ambayo atakuwa anakuona usiwe unacheka hovyo au kupayuka payuka maana utakuwa unakutanisha naye macho baada ya muda mpe ishara ya kuondoka naye kisha mpitie hapo umebeba.

IPO HIVI: Mtu ukimukataza asikifikirie kitu basi atakifikiria na ukimuambia afikirie kitu mara nyingi hafikirii hivyo kwakuwa ulimkataza basi atakifikiria zaidi na zaidi na kujikuta anakuwa tayari ameji turn on mwenyewe kwa kuwa ubongo huwa haujui kipi ni reality na kipi ni imagination wenyewe hufanya kazi moja tu kama reality. Tayari unakuwa umemnasa kiurahisi.
 
Demu wa club asimame muda wote huo akusikilize? Kwanza ukimsogezea mdomo sikioni tu anajinasua...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…