Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Baada ya kumpa msaada mwenzenu nyie mnampa makavu mara oooh wewe muoga mara oooh wewe Timbulo muelekezen na mwenzenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha woga hawatakupiga kwanza wenyewe ndio wanapenda kutongozwa.habarini wanajamvi,jamani naombeni msaada jinsi ya kumtongoza mwanamke maana nimefika umri ambao ninahitaji mwenza wangu wa kuwa nami ila tatizo ninaogopa sana wacchana na cna hata confidence ya kuwaface na kuwaambia yangu ya moyoni,so naombeni msaada,2cchekani jamani,nimeweka shida yangu hii kwa kuamini kuwa nitasaidiwa.
Safi sana mkuu kwa mademu wengi wa kibongobongo pesa na gari ndio kila kitu huhitaji kuwa mwongeaji sana kama mwimba taarabuhakuna dem mjanja mbele ya pesa na gar hata tigo unakula bila ubishi
Ninauvumilivu wa kutosha tu kwa watu wa dizaini yako sema tu urudiekuisoma mistari miwili ya mwisho.Karibu tena.Kumbe wewe domozege
Mkuu kuna wanaume hivyo vyote hawana na hata sura zao utafikiri waling'atwa na mamba mtoni lakini bado wanasumbua mtaani.Safi sana mkuu kwa mademu wengi wa kibongobongo pesa na gari ndio kila kitu huhitaji kuwa mwongeaji sana kama mwimba taarabu
Ni kwajinsi unavyoelewa wewe ila kwa mimi nakukatalia hilo mpaka nimeuanzisha uzi huu najijua mwenyewe na uchafu niliinao.Siku hizi mademu wa maneno tu umeng'oa ni adimu sana
Huenda ikawa kama unang'oa wachafuNi kwajinsi unavyoelewa wewe ila kwa mimi nakukatalia hilo mpaka nimeuanzisha uzi huu najijua mwenyewe na uchafu niliinao.
Yaani unataka tukufundishe?Wakuu habari zenu, kuna baadhi ya wanaume huwawia vigumu sana suala la kutongoza.Wakati kwa wengine tunaona kama hakuna kazi rahisi kama hiyo.Sasa katika uzi huu kama kuna demu umempenda na unawaza namna ya kumteka unashindwa msaada unaweza kuupata hapa.
Labda tu utueleze na mazingira gani alipo bar, party, ofisini njiani n.k. msaada utaupata hapa wakali wa hii burudani tupo.Utani hautakiwi. Utakula watoto hadi utajikataa.
Karibuni.