Mapenzi: Jinsi ya kumtongoza mwanamke unayemtaka na ukampata kwa urahisi

Inasikitisha! Kuna wanaume watakuja hapa kuchukua hizi mbinu, halafu mwisho wa siku hao hao wanaume wataenda kutongoza mademu zetu. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Na sie minjemba tnaotongozwa na akna dada?

try me
 
Sipendi hiyo SMS, utakuwa mtumwa wa SMS. Chating za kila muda na kila siku haziishi hadi kero, mara karibu tule, umelala, unafanya nn, upo na nani, umepika nini nk. Ptuuuu...!
 
Kumbe mkuu una maujuzi kama haya. So thanks kwa somo zuri master
 
Kwa mtongozo huu nishakubali yaishe, sio haya majitu yana stress linakutumia sms wosapu yakukutongoza ukichelewa kujibu analalama mbona kimya? Nuweke bundle kwa ajili yako sio?
 
hao wa hela ni wale wa short time tu.wale wa maisha hatutangulizagi pesa

nyie ndio mnaokuja kuleta thread humu
"mchumba wangu kanisaliti, kaenda kwa pedeshee"
"mchumba wangu anasema kanichoka"
 
K
kwani ni biashara jamany?
Ujue huwezi kuombwa hela kama unaonekana una nia na malengo mazuri kama unaonekana unataka kusuuza vyombo ndio unachunwa kwanza ili angalau akanunue hata wanja jamani
 
Kama hujanipa pesa, utakuwa unampigia mbuzi gitaa tu. Hayo yote tulishafanyiwa....pesa tu ndo tulinyimwa
 
K
Ujue huwezi kuombwa hela kama unaonekana una nia na malengo mazuri kama unaonekana unataka kusuuza vyombo ndio unachunwa kwanza ili angalau akanunue hata wanja jamani
Kwani mwanamme akitaka kusuuza vyombo, mwanamke hapati raha? Si wote wanafurahia? yaani raha upate na pesa juu ulipwe kwa kupata raha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…