Mapenzi: Jinsi ya kumtongoza mwanamke unayemtaka na ukampata kwa urahisi

Mapenzi: Jinsi ya kumtongoza mwanamke unayemtaka na ukampata kwa urahisi

Inasikitisha! Kuna wanaume watakuja hapa kuchukua hizi mbinu, halafu mwisho wa siku hao hao wanaume wataenda kutongoza mademu zetu. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Na sie minjemba tnaotongozwa na akna dada?

try me
 
Sipendi hiyo SMS, utakuwa mtumwa wa SMS. Chating za kila muda na kila siku haziishi hadi kero, mara karibu tule, umelala, unafanya nn, upo na nani, umepika nini nk. Ptuuuu...!
 
Kwa mtongozo huu nishakubali yaishe, sio haya majitu yana stress linakutumia sms wosapu yakukutongoza ukichelewa kujibu analalama mbona kimya? Nuweke bundle kwa ajili yako sio?
 
K
kwani ni biashara jamany?
Ujue huwezi kuombwa hela kama unaonekana una nia na malengo mazuri kama unaonekana unataka kusuuza vyombo ndio unachunwa kwanza ili angalau akanunue hata wanja jamani
 
Kama hujanipa pesa, utakuwa unampigia mbuzi gitaa tu. Hayo yote tulishafanyiwa....pesa tu ndo tulinyimwa
 
K
Ujue huwezi kuombwa hela kama unaonekana una nia na malengo mazuri kama unaonekana unataka kusuuza vyombo ndio unachunwa kwanza ili angalau akanunue hata wanja jamani
Kwani mwanamme akitaka kusuuza vyombo, mwanamke hapati raha? Si wote wanafurahia? yaani raha upate na pesa juu ulipwe kwa kupata raha.
 
Back
Top Bottom