Inshaallah kheri.
Remember hakuna bin/t Adam aliyemkamilifu. Tuvumiliane, tupendane, tutunzane, tuenziane, tuthaminiane kwa hali na mali, kwa shida na raha, dhiki na faraja, magonjwa na uzima, ka ukali na upole, ukarimu na uchoyo, uzazi na ugumba, uerevu na ujinga, (na hata umalaya?).
Mapenzi ni kama njaa?
Napenda kubisha kwa nguvu zangu zote.........
Njaa ni kitu kingine na mapenzi ni jambo jingine..... Ntafafanua ikihitajika.
wa afya njema darl hofu kwako tu, welcom back darling!
Khaaaaaaa!!! wapi na wapi......... ukameee huo na mapenziiiii........ mmmmmmmmmmmh!!!!!
MwanajamiiOne upoo wapi nikuachie chaki na ubao hapa?
Siku njema.
mnh...! hujui kiasi gani umeniumiza.
ngoja uyakose kama hujachakura majalalani...!
'Mwenye Shibe hamjui mwenye njaa!'
hapa sasa nimekuelewa maana watu tushawaza vile vitu vyetu
...amekosa mapenzi huyo! ...watu hudhani mapenzi ni suruale na sketi tu.
Mbu kwa nini umeifananisha hii picha na njaa ya mapenzi? mbona haviendani?...tafakari
....huwezi jua thamani ya mapenzi mpaka uyakose!
Originally Posted by Mbu View Post ...amekosa mapenzi huyo! ...watu hudhani mapenzi ni suruale na sketi tu.
Unaonaje akiliwazwa nje ya suruali na siketi tu.......................itakuwa murua zaidi...........hapa sasa nimekuelewa maana watu tushawaza vile vitu vyetu
Kwa kweli hii picha jamani
Mapenzi sio kama njaa..kwani mapenzi unaweza kujimalizia haja zako wewe mwenyewe.. Lakini njaa huwezi kujila mwenyewe..
aaaayyyeee mjukuu wa babuuuu... mmmh!
mjukuu kakutafuta sana jamani...kaja kukuvumbua huku
mmmh! nilihisi toka jana wanifuata weyeee... aaaiiiii.. teh teh teh... mimi hapa wasemaje weyee????????
mjukuu akikuona tu na mkaongea yale ya kwenu bas anafurahi tuuu...lol!