Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,861
- Thread starter
- #21
Inshaallah kheri.
Remember hakuna bin/t Adam aliyemkamilifu. Tuvumiliane, tupendane, tutunzane, tuenziane, tuthaminiane kwa hali na mali, kwa shida na raha, dhiki na faraja, magonjwa na uzima, ka ukali na upole, ukarimu na uchoyo, uzazi na ugumba, uerevu na ujinga, (na hata umalaya?).
mnh...! hujui kiasi gani umeniumiza.
Mapenzi ni kama njaa?
Napenda kubisha kwa nguvu zangu zote.........
Njaa ni kitu kingine na mapenzi ni jambo jingine..... Ntafafanua ikihitajika.
ngoja uyakose kama hujachakura majalalani...!
'Mwenye Shibe hamjui mwenye njaa!'