MAPENZI KIGEU GEU

MAPENZI KIGEU GEU

farfat

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2021
Posts
258
Reaction score
498
Katika hali is iyo ya kawaida nimejikuta nakata tamaa ya kuwa ktk mahusiano maana wanawake wa leo wamekuwa wabinafsi kupita kiasi.
1. Hupendwi kama hauna pesa au kama ulimshawishi kwa pesa ikitokea aka akajua undani wako na uhalisia wako anakuacha solemba
2. Kwa sisi wanaume tunaojitafuta ni muhimu kuweka kando mpango wa mahusiano sababu utakufa kwa pressure na msongo wa mawazo.
3. Wanaofaidi mapenzi ni wale tu waliojipata wana maisha na vitega uchumi lukuki.
3. Kama hauna pesa wala uelekeo mzuri kimaisha ni bora usubili mungu akubariki mwanamke atakaekupenda na kukutaka yeye mwenyewe kwa mapenzi yake kamwe usimpende mwanamke hisia huponza wanaume wengi.
4. Sauti ya mwanaume ni Mali na pesa. Tafuta maisha kwanza wanawake wapo wengi huko mbele ya safari..
5. Najua hautaweza kuishi bila kuwa na demu lkn njia rahisi ya kupunguza nyege nenda mahali palipo na makahaba kwa dar es salaam hii wamejaa kila kona bei zao ni 5000 kwa 10000 short moja kulingana na quality ya malaya unakojoa kimoja unarudi kulala wacha kupenda penda ni miyeyusho... jumapili njema vijana wenzangu
 
FB_IMG_1729347366824.jpg
 
Back
Top Bottom