Mapenzi kijijini na mjini

Mapenzi kijijini na mjini

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Mapenzi miongoni mwa wachumba au wanandoa vijijini na mijini hutofautiana kulingana na mazingira....

Mathalani vijijini mapenzi hufanyika zaidi nyakati za usiku kwa heshima, ukilinganisha na mjini, ambapo mapenzi hufanyika nyakati zozote tu, hususani mchana, kutokana na upatikanaji rahisi wa sehemu za kujihifadhi kwa faragha hiyo...

Mapenzi ya vichakani na makorongoni kule vijijini, hamna tena siku hizi, kwasabb ya athari za ukataji miti kiholela na kwahivyo hakuna vichaka vya kujificha tena ili kukamilisha tendo hilo muhimu sana la ndoa kwa utulivu...

Lakini pia,
hata uchepukaji wa vijijini hufanyika zaidi nyakati za usiku, ukilinganisha na mijini, ambapo tendo la uchepukaji hunafanyika mchana kweupe kabisa, tena mapema sana nyakati za kazi 🐒

Mida hii ya saa11 alfajiri ndio michepuko ya vijijini inaachiana na kurjea majumbani mwao. Kwa mijini mchepuko anatoka lodge saa4 asubuh 🐒

Vijijini, appointments za kukutana usiku hufanyika mchana kweupe, lakini, mijini appointments za kukutana faragha mchana hufanyika usiku....n.k

Ladies and gentlemen, michepuko sio deal, baki njia kuu.

UKIMWI BADO UPO, NA NI HATARI NDRUGU ZANGO .

una maoni gani kwenye hili 🐒
 
Si tulikubaliana Kua Ukimwi ni upungufu wakinga mwilini,
Hivyo watu wajitahd kula vizuri bila kusahau mazoezi kuongeza hizo kinga
 
Mapenzi miongoni mwa wachumba au wanandoa vijijini na mijini hutofautiana kulingana na mazingira....

Mathalani vijijini mapenzi hufanyika zaidi nyakati za usiku kwa heshima, ukilinganisha na mjini, ambapo mapenzi hufanyika nyakati zozote tu, hususani mchana, kutokana na upatikanaji rahisi wa sehemu za kujihifadhi kwa faragha hiyo...

Mapenzi ya vichakani na makorongoni kule vijijini, hamna tena siku hizi, kwasabb ya athari za ukataji miti kiholela na kwahivyo hakuna vichaka vya kujificha tena ili kukamilisha tendo hilo muhimu sana la ndoa kwa utulivu...

Lakini pia,
hata uchepukaji wa vijijini hufanyika zaidi nyakati za usiku, ukilinganisha na mijini, ambapo tendo la uchepukaji hunafanyika mchana kweupe kabisa, tena mapema sana nyakati za kazi 🐒

Mida hii ya saa11 alfajiri ndio michepuko ya vijijini inaachiana na kurjea majumbani mwao. Kwa mijini mchepuko anatoka lodge saa4 asubuh 🐒

Vijijini, appointments za kukutana usiku hufanyika mchana kweupe, lakini, mijini appointments za kukutana faragha mchana hufanyika usiku....n.k

Ladies and gentlemen, michepuko sio deal, baki njia kuu.

UKIMWI BADO UPO, NA NI HATARI NDRUGU ZANGO .

una maoni gani kwenye hili 🐒
Haya sijui ya mjini au kijijini
FB_IMG_1715798361358.jpg
 
Back
Top Bottom