Outlier
JF-Expert Member
- Dec 28, 2008
- 323
- 18
Proof ya mapenzi ni kilimo;
mapenzi = uongo mwingi, ukweli kidogo
siasa = uongo mwingi, ukweli kidogo
kwa hiyo mapenzi = siasa
azimio la iringa (1972) lasema siasa ni kilimo
kwa hiyo siasa = kilimo
na mapenzi = siasa = kilimo
basi mapenzi = kilimo (quite easily proven!)
na ni sahihi kabisa kumwambia mpenzi wako twende tukalime kumaanisha twende tukafanye mapenzi.
hii nitaifanya outlier's first principle, will come with more soon.