Kuna mapenzi korofi
Kuna mapenzi tamu
Kuna mapenzi shubiri
Kuna mapenzi ubabe
Kuna mapenzi jisahau
Kuna mapenzi ulimbukeni
Kuna mapenzi shindano
Kuna mapenzi sindano
Kuan mapenzi machozi!!
Hahahahaaa! Binadamu woooooote kitu hiki hawakiachiii kabiiisaa! Hata kama ni mapenzi sindano hajichomoi kabisa!
Kama kungekuwa na World Cup ya kupima level ya mapenzi duniani pangekuwa patamu!!! Hahahaa!