mapenzi kitendawili

mapenzi kitendawili

Chauro

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Posts
2,968
Reaction score
1,478
agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr...................... weekend ivi kuna watu huwa tunapotea njia?mapenzi ni kitu gani
 
Kuna mapenzi korofi
Kuna mapenzi tamu
Kuna mapenzi shubiri
Kuna mapenzi ubabe
Kuna mapenzi jisahau
Kuna mapenzi ulimbukeni
Kuna mapenzi shindano
Kuna mapenzi sindano
Kuan mapenzi machozi!!

Hahahahaaa! Binadamu woooooote kitu hiki hawakiachiii kabiiisaa! Hata kama ni mapenzi sindano hajichomoi kabisa!

Kama kungekuwa na World Cup ya kupima level ya mapenzi duniani pangekuwa patamu!!! Hahahaa!
 
agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr...................... weekend ivi kuna watu huwa tunapotea njia?mapenzi ni kitu gani
kwani jeeebwanawewe?mbona kulalama?
bwana wewe somo wangu km kuna ntu amekugandsha kona au ajakuletea baiolojia as u planed pole mwaya
lakin kuna vng vya kuenjoy wknd more than mapenz ambayo mara nyng yana risk kuuuuuuubwa..ungepumzsha akili ambayo wk nzima ilikuwa imesmama,ungeenda sehemu ungetulia,ungewatembelea ndg na jamaa...ungesoma vtabu.....ahh kuna vng vyema vya kuenjoy rather than kumapenz mapenz ambayo mara nyng return yake ni shubiri...
 
Kuna mtu alishawahi kunambia Mapenzi ni viujinga ujinga viiiingi ukiviweka pamoja unapata mapenzi.

Ila kwa sasa naamini its more than that
 
Back
Top Bottom