Mapenzi kizungumkuti

Mapenzi kizungumkuti

sady kimwana

Member
Joined
Feb 6, 2024
Posts
28
Reaction score
114
Aliyefunguliwa biashara kaolewa na mteja,

Aliyenunuliwa gari anatembea na mziba pancha,

Aliyejengewa nyumba ana jiachia na mpaka rangi,

Ishi na mtu kama ulivyokutana nae,

Tutiane tu ila kuhongana hapana kila itu abaki na chake .

Mapenzi ni mazito usijitwike kichwani utatofoa ubongo.

Usiyabebe mgongoni utavunja kiuno.

Leo hii Mpemba hanijuiiii
 
Back
Top Bottom