Mapenzi kwa njia ya mdomo, ni chanzo kikuu cha saratani ya koo

Tumepitia huko huko wakati wa kuja hapa duniani kwanini tusiugue Kansa mwili mzima,halafu kuna ubaya gani kupaKiss mahali hapo muhimu kwa uwepo wetu.

Piga mbizi kijana kingali meno bado iko
Shika Mic Msichana kingali sauti bado iko.
Hahahaha umeniacha hoi,kansa ya mwili mzima!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HIV ipo lakini watu wanaenda dry,mwendo kasi unaua lakini watu wanaendesha speed 180,dawa za kulevya zinaua lakini mateja wapya wanaongezeka kila siku. Kutokujali ni sehemu ya ubinadamu na pia tunaanza kufa tararatibu toka pigo la kwanza la moyo tumboni mwa mama. Maisha ni mafupi sana fanya kitu roho inapenda bila kuumiza wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza kudumu katika mahusiano ya mtu mmoja
Pili kupata chanjo kwa vijana ambao hajaanza ngono
Tatu kutumia vifaa maalumu mdomoni
Nne kuepuka matumizi ya pombe na sigara
Ingependeza ukatufahamisha vifaa maalumu vya kuvaa midomoni wakati wa kuingia chumvin
 
Ahahahhhhahhhhaahhahahahhhhahahahahaahahhahhahhhahaahahhhahahahahhh&ahhahahah.

Mwambie katuangusha masalafi wenziee tupo nyuma ya keyboard tunamcheki tu.
Umeniangusha Salafy mwenzio

ukiacha kuchagua jua umechagua kuacha
 
kila mtu abaki na choices zake,mie nilishashuhudia mtu ana kansa ya mapafu na wala hajawahi kuvuta sigara wakati kuna watu chain smokers na hawapati magonjwa kama hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…