Mapenzi kwa njia ya mdomo, ni chanzo kikuu cha saratani ya koo

Mapenzi kwa njia ya mdomo, ni chanzo kikuu cha saratani ya koo

Kwa akili ya kawaiiiiiidaaaaaaaaa tuuu ni propaganda hizo.

Hiyo kansa inatembea vipi mpaka kwenye koo?

Au mpaka umeze mate yale ya pale mdomini alafu yaende kwenye koo?

Kuna virusi vinaambukizwa kupitia mate?

ukiacha kuchagua jua umechagua kuacha
Wafanye propaganda kwa lipi? Kwa faida ya nani? Na ili iweje yani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahahahhhhahhhhaahhahahahhhhahahahahaahahhahhahhhahaahahhhahahahahhh&ahhahahah.

Mwambie katuangusha masalafi wenziee tupo nyuma ya keyboard tunamcheki tu.

ukiacha kuchagua jua umechagua kuacha


Ahahhahahahha

Hiyo topic ya thread yenyewe mhhh
 
Back
Top Bottom