Mapenzi kwa njia ya mdomo, ni chanzo kikuu cha saratani ya koo

Wiki kadhaa zilizopita niliona video clip ya naibu waziri wa afya akizungumza kuhusu typhoid, nilichoka. Huyu nae kaja tena. Mtuache jamani, kila mtu na starehe yake.
 
Halafu utakuta jitu linapelekwa Ocean Road ama CCBRT linaanza kulalamika tunanyanyaswa, yani kupiga deki upige ww ila ukiumwa usumbue wengine? Ndio maana nchi zilizoendelea wagonjwa wenye magonjwa ya kufa huwa wanaambiwa live na wanapelekwa either kutunzwa nyumbani ama kwenye rehabilitation centers hukoo ila sio hospitali.
 
hahahah muhuni umeifanya siku yangu kuanza vyema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatuwaachi..lazima tuwaambie mjue
Wiki kadhaa zilizopita niliona video clip ya naibu waziri wa afya akizungumza kuhusu typhoid, nilichoka. Huyu nae kaja tena. Mtuache jamani, kila mtu na starehe yake.
 
Kuna wale wanaoapa kwamba bila kuzama chumvini hawapati utamu wowote wa mapenzi. Hii ina wahusu. Nasema tena hii inawahusu!

Madaktari wameendelea kutoa tahadhari kwamba kufanya mapenzi kwa njia ya mdomo wenyewe wanaita oral sex, inaongeza sana hatari ya kupata kansa ya koo. Hii inasababishwa na kupata maambukizi ya aina fulani ya virusi wanaitwa kwa kitaalam Human Papilloma Virus type 16 (HPV-16). Kwa mfano nchini Marekani kuna visa vipya 9000 vya wagonjwa wenye kansa ya koo ambao husababisha na virusi hawa kila mwaka!

Virusi hawa husababisha pia kansa ya shingo ya kizazi. Wanasayansi wameonya kwamba ikiendelea spidi hii baadae wagonjwa wenye kansa ya koo watazidi wale wenye kansa ya shingo ya kizazi.

Hatari kubwa iko kwa wale ambao wana wapenzi wengi, kule kuonja huku na huku , huwezi jua virusi utavipata kutoka kwa nani. Hata hivyo hatari iko chini kidogo kwa wanawake kulinganisha na wanaume.

Pia matumizi ya sigara yanaongeza uwezekano wa kupata kansa.

Kazi kwenu sasa, kusuka ama kunyowa.
Kwahìyo tiba na kinga ya hiyo HPV 16 ipo?
 
Yaan vimistari vyako hivyo ndo unakuja kupiga biti watu kuzama chumvini wakati watu miaka dahari b4 utafiti wenu uchwara wa hapo juzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwani madaktari wamesomea ili wapaki au ilibwatibu wagonjwa?
 
Waafrika wengi hatujui kuishi positive life. Mzungu akishakuwa na mpenzi wanaenda kupima magonjwa hatarishi yooote kabla hawajaanza kufanya hii michezo ya kudekiana, lkn sisi watu weusi tunaiga kichwakichwa bila tahadhari yyte na ndo mana unakuta sisi tunaathirika zaidi.
hahahah muhuni umeifanya siku yangu kuanza vyema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waafrika wengi hatujui kuishi positive life. Mzungu akishakuwa na mpenzi wanaenda kupima magonjwa hatarishi yooote kabla hawajaanza kufanya hii michezo ya kudekiana, lkn sisi watu weusi tunaiga kichwakichwa bila tahadhari yyte na ndo mana unakuta sisi tunaathirika zaidi.
Point sana
 
Back
Top Bottom