Mapenzi kwa njia ya mdomo yanaeneza ukimwi?

Mapenzi kwa njia ya mdomo yanaeneza ukimwi?

pondiboy

Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
81
Reaction score
28
Kama kichwa kinavyoeleza hapo juu, je mwanaume anaweza akapata maambikizi kwa kunyonywa mgegedo na mwanamke iwapo ameathirika? Vp kwa mwanaume iwapo anamnyonya papuchi mwanamke ameathirika?
 
Mkuu ugonjwa wa ukimwi its all about blood contact hata kama mkikumbatia na mna vidonda na mmoja wenu kaathirika basi utaambukizwa anyway kapitie kwenye uzi mmoja wa Kaveli upate exclusive issues kuhusu ukimwi
 
Unamanisha kwenda uvinza na kula corn eeh unapata ndio kama unaenda uvinza bila nauli na kama unataka kulamba ice cream bila pesa lazima UKIMWI
 
Ndioo ingawa kwa kiwango kidogo ni asilimia 3 tu,pia uwezekano unakuwa mkubwa ukiwa na vidondo kinywan
 
Kama kichwa kinavyoeleza hapo juu, je mwanaume anaweza akapata maambikizi kwa kunyonywa mgegedo na mwanamke iwapo ameathirika? Vp kwa mwanaume iwapo anamnyonya papuchi mwanamke ameathirika?
4bb4e194397411b8e07cc186b226d0ce.jpg
 
Mbona anatoa order kwa Spika wa Bunge. Sasa huu mhimili au mwilimwili??
 
Back
Top Bottom