Mapenzi mabaya nyie acheni tu - Chris Brown ashindwa kujizuia

Mapenzi mabaya nyie acheni tu - Chris Brown ashindwa kujizuia

Chriss huwa hawezi ku move on hata mwanaume anaetoka na Rihanna yeye humchukulia kama adui yake., anataka makoloni yake yabaki bila mwingine kugusa.
 
Kumbe karrueche ana damu ya ki vietnam, ndio maana breezy yupo so close na tyga. Inawezekana tyga anamchukulia breezy kama shem wake maana na yeye ana asili ya Vietnam
 
Chriss huwa hawezi ku move on hata mwanaume anaetoka na Rihanna yeye humchukulia kama adui yake., anataka makoloni yake yabaki bila mwingine kugusa.

yaani kama mimi tu!.......tuna nyota ya Faru John!
 
Karrueche Tran ni mwanamke ambaye Chris Brown hatokuja kumsahau kamwe. Sijui alimpa lini lakini tunachofahamu ni kuwa pamoja na kuachana, bado hitmaker huyo wa Party amekuwa akifuatilia kila nyendo za mrembo hiyo ikiwemo kuwamind wanaume wanaommendea.
15535116_185506035251526_8884230033204314112_n.jpg

Mrembo huyo ambaye baada ya kuachana na Chris Brown anaonekana kuwa bado yupo single, amepost picha hiyo juu kwenye Instagram na kuweka caption rahisi ‘Baby.’

Kwenye picha hiyo, mrembo huyo anaonekana amevaa t-shirt nyeusi yenye picha za muimbaji wa UK, Sade na pia akiwa amevaa nguo ya ndani pekee yenye rangi nyekundu.

Macho ya Breezy yalivutiwa na alichokiona na kujikuta akicomment: Still want it.”
15625070_395637230780616_5820305363303399424_n.jpg
Tafuta mahojiano ya karrueche na Iyanya kuhusu breeze .
 
Haahaaaa! mkuu mambo ya kale jitahidi uyaache songa mbele na mapya.
kusonga huwa nasonga ila i think am more possessive....nikisonga nitataka na koloni la kale nisonge nalo🙂!
 
Back
Top Bottom