Chriss huwa hawezi ku move on hata mwanaume anaetoka na Rihanna yeye humchukulia kama adui yake., anataka makoloni yake yabaki bila mwingine kugusa.
Mleta mada acha kuzunguka kama tairi, we sema tu lengo la hii topic ni kuonye hiyo Camel toe tu.
Haahaaaa! mkuu mambo ya kale jitahidi uyaache songa mbele na mapya.yaani kama mimi tu!.......tuna nyota ya Faru John!
Tafuta mahojiano ya karrueche na Iyanya kuhusu breeze .Karrueche Tran ni mwanamke ambaye Chris Brown hatokuja kumsahau kamwe. Sijui alimpa lini lakini tunachofahamu ni kuwa pamoja na kuachana, bado hitmaker huyo wa Party amekuwa akifuatilia kila nyendo za mrembo hiyo ikiwemo kuwamind wanaume wanaommendea.
Mrembo huyo ambaye baada ya kuachana na Chris Brown anaonekana kuwa bado yupo single, amepost picha hiyo juu kwenye Instagram na kuweka caption rahisi ‘Baby.’
Kwenye picha hiyo, mrembo huyo anaonekana amevaa t-shirt nyeusi yenye picha za muimbaji wa UK, Sade na pia akiwa amevaa nguo ya ndani pekee yenye rangi nyekundu.
Macho ya Breezy yalivutiwa na alichokiona na kujikuta akicomment: Still want it.”
Ndio wabongo tulivyo.hata wakenya watushangaa sana.Sijaelewa kitu yaani tunajadili comment ya mtu
toa thread kasimamisha mkuki mkuu usishangaeSasa hapo mapenzi yako wapi?
kusonga huwa nasonga ila i think am more possessive....nikisonga nitataka na koloni la kale nisonge nalo🙂!Haahaaaa! mkuu mambo ya kale jitahidi uyaache songa mbele na mapya.