FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Alimuua kwa njia gani? Na ni dini gani huyo mama?
Hakuna cha dini hapo Limbani. Ni mapenzi yameua. By the way nimeipenda sana avatar yako, hasa hako kakinywaji.
Alimuua kwa njia gani? Na ni dini gani huyo mama?
Chrispin nimegundua una viugonjwa viwili .
1. Pampula
2.. Totoz hazikatizi usawa wako 🙂
Christian pure/alikufa kwa ugonjwa wa kutatanisha
kinachoniacha hoi mmeo au mkeo amedead na wewe in on month ushavuta mwanakondoo ndani lol hatari sana ..
Ni penzi au upofu ??
Hakuna cha dini hapo Limbani. Ni mapenzi yameua. By the way nimeipenda sana avatar yako, hasa hako kakinywaji.
Mkuu hii inaitwa Sochu, ni ya kijapan wanatengeneza kwa viazi
Christian pure/alikufa kwa ugonjwa wa kutatanisha
kinachoniacha hoi mmeo au mkeo amedead na wewe in on month ushavuta mwanakondoo ndani lol hatari sana ..
Ni penzi au upofu ??
Ki vipi hapo maana umesema "amemua" so kaletewa gonjwa au? na hiyo ndo aliofunga na jamaa ni ya aina gani Kikristo? Kimila? au Kiserikali? vp anakaa na watoto wake hapo au hakua nao?Christian pure/alikufa kwa ugonjwa wa kutatanisha
kinachoniacha hoi mmeo au mkeo amedead na wewe in on month ushavuta mwanakondoo ndani lol hatari sana ..
Ni penzi au upofu ??
Litengenezwe kwa chochote kila mi sijali, namimina kilaji tu. Lol! Kiu, ngoja niwahi Nyama Chabez
We mjukuu wa Sheikh Hussein. Umekosa vyote viwili. Hahahaha!
Ki vipi hapo maana umesema "amemua" so kaletewa gonjwa au? na hiyo ndo aliofunga na jamaa ni ya aina gani Kikristo? Kimila? au Kiserikali? vp anakaa na watoto wake hapo au hakua nao?
Ni kisa kilichoniacha mdomo wazi wenzangu ...hivi unaweza penda mpaka ukafikia hatua ya kuua ..??
katika hali ya kutatanisha mama mmoja inasadikika alimuua mmewe mwenye takribani miaka 42 na yeye after 1 month akaolewa na kijana wa miaka 30 wakati yeye alikuwa na miaka 35
Huyu mama ni jirani yangu tukio la kuolewa ndani ya mwezi baada ya kifo cha mmewe limenifanya niamini ni kweli alimuua mmewe
Nini siri ya penzi la hatari na lenye kutisha namna hiii??
FL
mkuu hii Nyama Chebaz i wapi??
swali langu ni je kama umemchoka mwenzio kuliko kukatili maisha yake kwa nini msikae chini na kuambizana kama love haipo tena mkionana ni kama vile simba na chui ili kila mtu aanze ustaarabu wake ..
kila mmoja aanze kuonja maisha yake binafsi katika mwanga bora ?
Sijaelewa vizuri,unasemaje inasadikika kuwa alimuua mumewe? Kwani si ni jirani yako? inakuwaje tena utwambie kuwa inasadikika? kama ni jirani yako inawezekana unajua undani wa habari,hebu tupe habari kamili,maana nikijaribu kuisoma hii thread ni kama vile ni story ya kubuni.