Mapenzi mazuri

Mapenzi mazuri

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,750
Je unafikiri ni wakati gani mzuri wa mapenzi
Ukiwa kijana ,kwenye ndoa au uzeeni(Ndoa au bila ndoa) ? :A S 465: Sababu na maelezo kama unayo !!
 
mmh, ni wakati gani mwiba ukikuchoma ni uchungu zaidi?

Asubuhi, mchana, jioni, usiku, au manane??
 
Wakati wowote, nje au ndani ya ndoa ili mradi iwe na mtu ambae moyo umeridhika nae.
 
Je unafikiri ni wakati gani mzuri wa mapenzi
Ukiwa kijana ,kwenye ndoa au uzeeni(Ndoa au bila ndoa) ? :A S 465: Sababu na maelezo kama unayo !!

Kwenye ndoa coz mnakuwa huru
 
Mapnz hayana formula kbs na hayana wakati maalumu inategemea na wahusika wenyewe namna watakavoihandle hiyo kitu,ila cku zote mapnz ni matamu sn wakati wa mwanzon mwa uhusiano haijalishi ni ndan ya ndoa kabla ya ndoa.
 
Kwenye ndowa kwani haina muda maalum! Nyakati nyengine zina rika maalum kwa mfano unapokuwa mzee si utaonekana mchinvi kufata mapenzi?
 
Kwenye ndowa kwani haina muda maalum! Nyakati nyengine zina rika maalum kwa mfano unapokuwa mzee si utaonekana mchinvi kufata mapenzi?

Mapenzi ya uzeeni !! LOL
Sugarmum au sugardad
 
Ujana kwa sababu mnakuwa 2 tu ila baada ya hapo familia,ndugu, jamaaa
 
any time any where with any person bora mmependana kiukweli
 
....uzeeni bana....raha kupendwa wakati huo meno yeshakongoloka, mgongo una 'squeack' kuliko kitanda cha banco na marafiki wengi weshatangulia kuzimu...
 
Back
Top Bottom