Beberu-mpya
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 216
- 106
Mkuu.....Hapa naomba wanajamvini nasikia jirani yangu anagombana na mke wake hapa chumbani kwao eti mwanamke anasema apelekwe kwa mtoko na baba wa nyumba anasema eti usawa huu hawezi eti mipango haijakaa sawa. Kwa hiyo VALENTINE ni lazima MTOKO?
Kabisa aiseMbona kama kichwa cha habari na content havina mahusiano?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu.....
Ebu maliza kwanza kuongea na simu, kisha uje uandike tukuelewe
Hapa naomba wanajamvini nasikia jirani yangu anagombana na mke wake hapa chumbani kwao eti mwanamke anasema apelekwe kwa mtoko na baba wa nyumba anasema eti usawa huu hawezi eti mipango haijakaa sawa. Kwa hiyo VALENTINE ni lazima MTOKO?
hujaeleweka yani ni sawa kichwa cha ng'ombe mwili wa mbwaHapa naomba wanajamvini nasikia jirani yangu anagombana na mke wake hapa chumbani kwao eti mwanamke anasema apelekwe kwa mtoko na baba wa nyumba anasema eti usawa huu hawezi eti mipango haijakaa sawa. Kwa hiyo VALENTINE ni lazima MTOKO?
Nimecheka mubasahara...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii mada ni kama unaangalia picha la kihindi lenye subtitle ya kijapan ukiwa tanzania.
hujaeleweka yani ni sawa kichwa cha ng'ombe mwili wa mbwa
Hapo sasa. Nikisema, wanakuja juu. Bora wewe umeyaona hayoMbona kama kichwa cha habari na content havina mahusiano?