Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hamia kwetu manchester maana kwetu furaha 99% lkn arsenal ni 40%. karibu sana
Pole sana,lakini punguza hasira.
Jaman mwenzenu ninaipenda sana timu ya arsenal kiasi kwamba 2kicheza na kufungwa namkasirikia mpnz wangu na nyumban hakukaliki...nifanyenini? Naomba kuwasilisha
Safi kabisa na ndio maana 2kamuambia ampende mkewe,wachezaji wanapeana mikono lkn yy anagombana na my wife wake,sasa huoni kama hilo ni kasheshe?Du, mbona majibu makali namna hii?. Inaonekana si wapenzi wa mpira nyie, fuatilieni jukwaa la michezo muone watu wakifungwa wanakuwaje. Sasa kama hapa watu hatujuani tu ni hivi unafikiri n'mbani inakuwaje, cha msingi tumshauri achukulie mpira kama burudani na si vita kwamba lazima ashinde. Awaangalie hata wachezaji timu yake, wanafungwa lakini wanapeana mikono na kukumbatiana na wapinzani wao.