FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Kaka zangu mlio humu ndani kumsomesha mke ni jambo zuri sana, ila mimi kwa maisha ya sasa hivi siwezi hata kumshauri kaka yangu kufanya hivyo. Kwa sababu kuna kaka yangu alimsomesha mke wake akaacha kumsomesha mdogo wake, baada ya wifi kumaliza chuo, tulishangaa kaka akiacha kila kitu, gari na kila kitu na kuondoka personal things tu na ndoa ikaishia hapo. Ukimsomesha msomeshe kwa faida ya wanao kwa sababu ht mkiachana watoto wataendelea kupata msaada kwa mama yao.
Huo ndo ukweli, kwa wengi wao hakuna aliyejaribu kumsomesha mkewe akasalimika, kama sio kukimbiwa physically-basi hata psychologically, anabaki anateseka maishani kwa ku-tolerate vituko vya mpenzi wake wa dhati.No coment .
mimi nahisi wanakuwa hawana mapenzi ya dhati kwa waume zao jamani!!! mwanamke ankuwa na ajenda zake za siri hapo anajua jamaa atanisapoti nipate elimu na nikigradueti tu nachapa mwendo!!!!!
otherwise naungana pia na aliyesema ni hulka y amtu binafsi....
MTM hongera hupo peke yako; Mke wangu ni ex starnd seven; amaeanza form one juzi baada ya kumaliza tution ya mwaka mzima ya kiingereza!
mimi nasoma Open university degree yangu ya kwanza!
Ananiombea nami nmwombea mafanikio ndio maan ya ndoa! Ni pamoja na kumwomba mungu amlinde!
Huko kugeukana ni kweli naungana na wacahngiaji hapa kuwa kutokuwapo mapenzi ya dhati; kutojitambua nafasi yako katika ndoa yenu na uchoyo amabazo ni hulka za binadamu; sio katika suala la elimu tu inaweza kuja kutokea katika hali yoyote nyingine si ajabu hata katika suala la afya zenu!
Mungu awape moyo na tuendelee kuwa support wake na waume wetu!😎😎
MTM hongera hupo peke yako; Mke wangu ni ex starnd seven; amaeanza form one juzi baada ya kumaliza tution ya mwaka mzima ya kiingereza!
mimi nasoma Open university degree yangu ya kwanza!
Ananiombea nami nmwombea mafanikio ndio maan ya ndoa! Ni pamoja na kumwomba mungu amlinde!
Huko kugeukana ni kweli naungana na wacahngiaji hapa kuwa kutokuwapo mapenzi ya dhati; kutojitambua nafasi yako katika ndoa yenu na uchoyo amabazo ni hulka za binadamu; sio katika suala la elimu tu inaweza kuja kutokea katika hali yoyote nyingine si ajabu hata katika suala la afya zenu!
Mungu awape moyo na tuendelee kuwa support wake na waume wetu!😎😎
Kaka zangu mlio humu ndani kumsomesha mke ni jambo zuri sana, ila mimi kwa maisha ya sasa hivi siwezi hata kumshauri kaka yangu kufanya hivyo. Kwa sababu kuna kaka yangu alimsomesha mke wake akaacha kumsomesha mdogo wake, baada ya wifi kumaliza chuo, tulishangaa kaka akiacha kila kitu, gari na kila kitu na kuondoka personal things tu na ndoa ikaishia hapo. Ukimsomesha msomeshe kwa faida ya wanao kwa sababu ht mkiachana watoto wataendelea kupata msaada kwa mama yao.
..kiukweli kuna baadhi ya wanawake ambao wakifanikiwa kielimu na kimaisha wakiwa ndani ya ndoa huanzisha kiburi na wakati mwingine hata kutishia kuondoka pindi ataona mambo si mambo. Kwa mujibu ya ufahamu wangu, wao hudai kuwa once akipata elimu nzuri e.g Master, PhD etc na mungu akamsaidia na kazi nzuri ikaja anaamini anakuwa amejikomboa sana katika suala kubwa la kipato ambacho wao hudai ndio jambo linalowatia wanawake wengi utumwani...
Nakozi halafu twalakaAkitoka shuleni ataanza kudai yuko busy, na kwa kuwa anaingiza kipato chake, basi ataringa nacho na kumleta msichana wa nyumbani mwenyewe. Huyu msichana atamwachia kufanya kazi hadi kukuandalia meza, kukunawisha, kukufulia hadi nguo za ndani, kufanya usafi chumbani hadi kutandika kitanda, kukuandalia maji ya kuoga n.k. Kuanzia hapo wewe utashawishika kumtomasatomasa binti, halafu mama atahisi. Je, nini kitatokea? Malizia ..............
Nakozi halafu twalaka
De Novo,
Kuna wanaume huwa wanawatesa, kuwaletea nyodo, kuwasimanga na kuwanyanyasa wake zao wakati wao (wanaume) ndo wanaoingiza kipato kikubwa ndani ya nyumba.
Hiyo hupelekea wanawake hao kuwa na hasira na kuandaa kisasi na wao wanaanza juhudi za kutafuta kwa bidii (juhuzi zaidi shuleni, kwenye biashara etc)
So, akishapata chake, kwa nini asikutose?
Chunguza vizuri kamanda, nyingine huwa ni 'sweet revenge'
Kama na wewe umekuwa uikimtesa wife wako na ghafla kaomba umpeleke shule, be warned!
Yeah, thats where we make mistakes... we forget that women dont forgive and forget!!! we are just like fleas
I know of a couple ambao wameoana kitambo tu na mama anafanyakazi kwenye taasis nyeti tu na kwa mwezi anapata zaidi ya mara 5 ya mume wake ambaye ni wa kawaida tulakini anavyomuheshimu, kumthamini, na kumpenda inaondoa dhana nzima kuwa wanawake wa siku hizi wakifanikiwa huwa matatizo.
Huyu mama anachekwa na rafiki , ndugu na watu wengine lakini hajabadilisha msimamo wake. Kila wanachofanya hupanga pamoja na mume ndiye anayekabidhiwa jukumu la kusimamia.
Nadhani tatizo ni hulka, pressure za wanaokuzunguka,kutokuwa na mapenzi ya dhati na namna mlivyoanza .