Mapenzi na mahusiano

dorcas1234

Senior Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
116
Reaction score
34
Hivi ni kwa nini ktk mahusiano mengi,kwa mfano kwenye ndoa wanaume / wanawake walio wengi hawawezi kuwaambia wake zao kuwa hawawaridhishi matokeo yake wanatoka na kwenda kutafuta mahawara nje,je kuna ugumu gani wa wewe mwanaume/mwanamke kumwambia au kumfundisha unavotaka/unavopenda wewe?kwani tatizo huwa nini jamani tujuzane.
 
mi mwenyewe nashangaa.....sijui watu wakoje.....
kukubali hawakubali....kukataa hawakatai.....ni shida tupu....
 
umeonaee hata mtoa mada hakubali hakatai hapo chacha !

mi mwenyewe nashangaa.....sijui watu wakoje.....
kukubali hawakubali....kukataa hawakatai.....ni shida tupu....
 
Sidhani kama sababu ya kutoka nje ni kuridhishana pekee..., hata kama ukimridhisha kiasi gani / haya mambo huwa ni tamaa. To put it bluntly kama mtu anapenda machungwa sio kwamba hawezi kula embe na akila embe sio kwamba hataki tena chungwa...

Mara nyingi labda kule anavutiwa na kitu fulani be it tabia au sura (physical attraction) au anataka change of scene.., sasa kweli atamwambia mwenza wake abadilike tabia au sura au character..

Sio mara zote kucheat kwa mwana-ndoa ni kosa la mwenza wake, most of the times ni tabia ya mtu, akiwa karibu na mtu (ili mradi ni jinsia tofauti) na akipewa upenyo hawezi kuacha... (hata kama ikibadiliswa hawara ndio akawa mke na mke akawa hawara bado angelala na mke wake kwa kumcheat hawara yake)
 
Kwa sababu wakishaoana wanaacha kuwa wapenzi, wanakuwa watu wa ndoa!
 
Kudos Sun Wu
Nimeipenda hiyo ya sababu ya mtu kucheat ni yake mwenyewe na si kosa/upungufu wa mwenzi!
 
Wengi wanashindwa kumfundisha mumewe/mkewe jinsi anavyotaka aridhishwe kwa kudhani kuwa atamuona mhuni, anahisi atamuuliza yeye kavijulia wapi hivyo?

Lakini pia wengine wanakataa hata ukimfundisha

Ila kama walivyosema wachangiaji wengine, kutokuridhishwa ni sehemu tu ya sababu, zaidi ni tabia ya mtu, kuwa mbali na mwenzi wako, tamaa ya mali hasa pesa au kupata upendeleo ktk jambo fulani (mfano kazi, cheo, madaraka n.k), kuendekeza tamaa za mwili (kuna mtu anadhani bila ngono hawezi kuishi), kutokuwa na roho ya Mungu (yaani kutokubali kuwa cheating ni dhambi), peer group ..........changanya na zako sasa!
 
Ha2na utamaduni wa kuvunja ukimya hadi 2letewe kwa hisani ya wa2 wa marekani.
 
Chanzo cha kucheat hua ni tamaa,mfano:unakuta mwanaume ana mke mnene na anapata kila kitu anachokihitaji but katika pitapita zake akikutana na mwanamke mwembamba anatamani aonje ili ajue how it feels kua na mwembamba,in most cases tamaa ndo hua inaponza watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…