dorcas1234
Senior Member
- Mar 13, 2012
- 116
- 34
Hivi ni kwa nini ktk mahusiano mengi,kwa mfano kwenye ndoa wanaume / wanawake walio wengi hawawezi kuwaambia wake zao kuwa hawawaridhishi matokeo yake wanatoka na kwenda kutafuta mahawara nje,je kuna ugumu gani wa wewe mwanaume/mwanamke kumwambia au kumfundisha unavotaka/unavopenda wewe?kwani tatizo huwa nini jamani tujuzane.