Mapenzi nayo yana misimu

hivi kwenye mahusiano ya kimapenzi hakuna wanaobahatika kupata SOUL MATE au ni sawa na kuokota dhahabu kariakoo?
 
Unapata tena vizuri TU lakin kama siyo pesa bas utofauti wa dini utawatenganisha
Pesa inapatikana kwenye penzi imara na kama dini napiga chini cjali watasema nini mradi niwe na ayala wangu
 
πŸ€›πŸ€›πŸ€› my ❀️
 
Mtoa mada si ujitolee tu bure unipe mapenzi moto moto,maana ya baridi siyawezi
 
Umenikumbusha mbali, penzi langu jipya miaka ya 2011.... nlikua napelekewa moto utadhani nimejiajiri nikiinuka ni miguu inatetemeka hata kutembea siwezi πŸ™‚
Unaonekana ODO meter haijafika mbaliπŸ˜‹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…