Mapenzi nayo yana misimu

Mapenzi nayo yana misimu

hivi kwenye mahusiano ya kimapenzi hakuna wanaobahatika kupata SOUL MATE au ni sawa na kuokota dhahabu kariakoo?
 
Unapata tena vizuri TU lakin kama siyo pesa bas utofauti wa dini utawatenganisha
Pesa inapatikana kwenye penzi imara na kama dini napiga chini cjali watasema nini mradi niwe na ayala wangu
 
Kama ilivyo msimu wa mvua, msimu wa baridi, kiangaz nk: Kupanda mahindi msimu wa kiangaz ni kujitakia๐Ÿ˜ฅ

Mapenz nayo vivyo hivyo, msimu wa mapenz motomoto (ndo linaanza sasa), msimu wa mapenz vuguvugu (yaliyopoa), msimu wa mapenz ya kuvumilia a(hapa watu hujilazimisha kuendelea kuwa wapenzi)

Mkipita vipindi vyote Ivo ndo ufanye maamuz kama ni kuoana au kubebeana mimba au kujengeana nyumba maana mnakuwa na uhakika kwamba kweli mmeshibana. Siyo penz limewaka tu tayari umebeba mimba, umemnunulia gari yakipoa tayari lawama kibao.

Hakuna kisicho na mwisho bana. Uhai wenyewe una mwisho wake sembuse ......๐Ÿ˜†๐Ÿ™Œ
๐Ÿค›๐Ÿค›๐Ÿค› my โค๏ธ
 
Mtoa mada si ujitolee tu bure unipe mapenzi moto moto,maana ya baridi siyawezi
 
Umenikumbusha mbali, penzi langu jipya miaka ya 2011.... nlikua napelekewa moto utadhani nimejiajiri nikiinuka ni miguu inatetemeka hata kutembea siwezi ๐Ÿ™‚
Unaonekana ODO meter haijafika mbali๐Ÿ˜‹
 
Back
Top Bottom