Mapenzi nayo yana misimu

Mapenzi nayo yana misimu

Sasa huyu mbona hukumualika kwenye threesome jamani nione jinsi anavyokuoelekea moto.....japo na mie nijifunze mbuni mbili tatu.
Dah mwanamke mchoyo weye
Oi hivi Tz watu wanafanya 3some kwa sana kumbe? 😳
 
Umenikumbusha mbali, penzi langu jipya miaka ya 2011.... nlikua napelekewa moto utadhani nimejiajiri nikiinuka ni miguu inatetemeka hata kutembea siwezi [emoji846]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimecheka kama mwehu! Hivi kwenye kuchakatwa mbususu huwa mnakumbwa na dhoruba lipi? Mbona hamtupi siri ya urembo? Ni maumivu au utamu?

Ona sasa, mpaka unashindwa kutembea, halafu kesho yake asubuhi unaikimbiza huku ukikwepana na dunga dunga kwenye daladala ili ikachakatwe! [emoji1787]
 
Back
Top Bottom