Mapenzi nayo yana misimu

Mapenzi nayo yana misimu

Ni kweli kabisa kwenye kitabu cha MEN ARE FROM MARS AND WOMEN ARE FROM VENUS kimeelezea hivyo vipindi vipo vinne kama vya mwaka vile alipo kuja kuniacha hoi ni alipo sema anayempa mwanamke ua au gari wote wana score point moja yaani wote wapo sawa kwa mwanamke japokuwa tu wa gari atakuheshimu ila inside wote wako sawa.
 
Ndo ukweli mkuu
 
Back
Top Bottom