Davidson david
JF-Expert Member
- Jul 26, 2023
- 1,029
- 1,051
Umalaya una gharama, kipindi hicho ujana mwingi, nilipiga Pisi 4 within a week aisee nilipatwa ugonjwa flani wa kuwasha kama mwezi nilipita hospital kama zote na Kila
Ulipona ilo tatizo chief mm ninalo linanitesa sanaUmalaya una gharama, kipindi hicho ujana mwingi, nilipiga Pisi 4 within a week aisee nilipatwa ugonjwa flani wa kuwasha kama mwezi nilipita hospital kama zote na Kila wakipima STd zote zinasema negative, ilibidi wale mabinti wote niwapige chini maana nilishindwa hata kujua who was the culprit