Mapenzi & ngono....!!!

Mapenzi & ngono....!!!

Digaller

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2009
Posts
798
Reaction score
541
Wapendwa naomba mnijibu maswali haya:- 1=mapenzi ni nini?. 2=ngono ni nini?. 3=unapenda kufanya mapenzi/ngono muda gani?. 4=kwanini unapenda/unachukia mapenzi/ngono?
My take:- hulazimishwi kuchangia,kama hujisikii chapa lapa!!
 
Ushauri wa bure:
Hapo ulipoandika MY TAKE ungeandika Angalizo..ingeleta maana zaidi!

Lakini Mimi ni wa hapo kwenye red, na nachapa lapa kama ifuAtavyo!
 
Usingizi umenikaba, sijasoma chochote nimepitiliza.
 
1. Mapenzi ni upendo.
2. Ngono sijajua ni nini.
3 jibu la hapa linategemea na majibu ya hapo juu. Pia sijui.
4 hili nalo sijui.
My take: sijalazimishwa kuchangia. Malapa yamekatika.
 
1. Mapenzi hutokea moyoni, humwendea yeyote na hayauliziwi sababu.
2. Ngono ni nje-ndani, juu-chini, mbele-nyuma mpaka mwisho wa safari.
3. Mimi mtoto, sijawahi kufanya ngono muda wowote.
4. Kwa kuwa sijawahi kufanya, sijui kama napenda au sipendi.
Take ya Mphamvu: Usiwekee watu masharti kwa kuwa wewe humiliki thread hapa JF, ni mahala huru, ulipakuta huru, paache na uhuru wake!
 
Wapendwa naomba mnijibu maswali haya:- 1=mapenzi ni nini?. 2=ngono ni nini?. 3=unapenda kufanya mapenzi/ngono muda gani?. 4=kwanini unapenda/unachukia mapenzi/ngono?
My take:- hulazimishwi kuchangia,kama hujisikii chapa lapa!!

huwa wanasema heri ujinga wa mwerevu kuliko neema ya mpumbavu. Nachapa lapa.
 
1. Mapenzi hutokea moyoni, humwendea yeyote na hayauliziwi sababu.
2. Ngono ni nje-ndani, juu-chini, mbele-nyuma mpaka mwisho wa safari.
3. Mimi mtoto, sijawahi kufanya ngono muda wowote.
4. Kwa kuwa sijawahi kufanya, sijui kama napenda au sipendi.
Take ya Mphamvu: Usiwekee watu masharti kwa kuwa wewe humiliki thread hapa JF, ni mahala huru, ulipakuta huru, paache na uhuru wake!

Njoo tukufunze...basi..mashaaalah!!

well mapenzi ni kitu cha ndani hasa....tena hata bila ngono mapenzi yapo ...na mapenzi mengi huweza kuzaa ndoa..ndio maana mwanamke unayempenda kwa dhati hata kama hakupi ngono...unakuwa tayari kusubiri....

Ngono ni kitu cha mara moja....wapenzi wa ngono wako radhi hata kununua....au hata kama si kwa kununua hutokea mkakutana mwanamke na mwanamume mkajigundua kuwa wote mnapenda ngono...kwa hiyo nyie uhusiano wenu utakuwa ni wa ngono...tu..sex date..

Wapenzi wengi wa ngono ni wajumzi [wanawake kwa wanaume]...
 
Kaka wataka kunifanya nini mie mwanaume mwenzio, ama kweli dunia jal kwishnei! Yanh sheikh wangu unataka unifunze mapenzi?
 
1. Mapenzi ni upendo.
2. Ngono sijajua ni nini.
3 jibu la hapa linategemea na majibu ya hapo juu. Pia sijui.
4 hili nalo sijui.
My take: sijalazimishwa kuchangia. Malapa yamekatika.

nimeipendaaa!!
 
Wapendwa naomba mnijibu maswali haya:- 1=mapenzi ni nini?. 2=ngono ni nini?. 3=unapenda kufanya mapenzi/ngono muda gani?. 4=kwanini unapenda/unachukia mapenzi/ngono?
My take:- hulazimishwi kuchangia,kama hujisikii chapa lapa!!

You are not serious, are you???...
 
naomba uje kwangu na mpenzi wako nikufundishe mambo yote hapo juu kwa vitendo
 
1. Mapenzi hutokea moyoni, humwendea yeyote na hayauliziwi sababu.
2. Ngono ni nje-ndani, juu-chini, mbele-nyuma mpaka mwisho wa safari.
3. Mimi mtoto, sijawahi kufanya ngono muda wowote.
4. Kwa kuwa sijawahi kufanya, sijui kama napenda au sipendi.
Take ya Mphamvu: Usiwekee watu masharti kwa kuwa wewe humiliki thread hapa JF, ni mahala huru, ulipakuta huru, paache na uhuru wake!

Kama wewe mtoto unachangiaje mada za wakubwa??? hukutakiwa kuingia kwenye hii thread,
 
Back
Top Bottom