Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushauri wa bure:Wapendwa naomba mnijibu maswali haya:- 1=mapenzi ni nini?. 2=ngono ni nini?. 3=unapenda kufanya mapenzi/ngono muda gani?. 4=kwanini unapenda/unachukia mapenzi/ngono?
My take:- hulazimishwi kuchangia,kama hujisikii chapa lapa!!
Wapendwa naomba mnijibu maswali haya:- 1=mapenzi ni nini?. 2=ngono ni nini?. 3=unapenda kufanya mapenzi/ngono muda gani?. 4=kwanini unapenda/unachukia mapenzi/ngono?

1. Mapenzi hutokea moyoni, humwendea yeyote na hayauliziwi sababu.
2. Ngono ni nje-ndani, juu-chini, mbele-nyuma mpaka mwisho wa safari.
3. Mimi mtoto, sijawahi kufanya ngono muda wowote.
4. Kwa kuwa sijawahi kufanya, sijui kama napenda au sipendi.
Take ya Mphamvu: Usiwekee watu masharti kwa kuwa wewe humiliki thread hapa JF, ni mahala huru, ulipakuta huru, paache na uhuru wake!
astakhafur...hizi hiden ID ....samahani Bro....Kaka wataka kunifanya nini mie mwanaume mwenzio, ama kweli dunia jal kwishnei! Yanh sheikh wangu unataka unifunze mapenzi?
astakhafur...hizi hiden ID ....samahani Bro....
Wapendwa naomba mnijibu maswali haya:- 1=mapenzi ni nini?. 2=ngono ni nini?. 3=unapenda kufanya mapenzi/ngono muda gani?. 4=kwanini unapenda/unachukia mapenzi/ngono?
My take:- hulazimishwi kuchangia,kama hujisikii chapa lapa!!
1. Mapenzi hutokea moyoni, humwendea yeyote na hayauliziwi sababu.
2. Ngono ni nje-ndani, juu-chini, mbele-nyuma mpaka mwisho wa safari.
3. Mimi mtoto, sijawahi kufanya ngono muda wowote.
4. Kwa kuwa sijawahi kufanya, sijui kama napenda au sipendi.
Take ya Mphamvu: Usiwekee watu masharti kwa kuwa wewe humiliki thread hapa JF, ni mahala huru, ulipakuta huru, paache na uhuru wake!
You are not serious, are you???...