Mapenzi ni 2 way traffic, stop being bitter

Kwa kweli mimi kuliko kuwa kwenye mahusiano kama hayo ni bora nibaki single hadi nakufa! African men demand a lot from their women more than they can give!
Hahahah its so easy if you really love a man.
 
Daaaah. Ndefuuuuuuu
 
Kwa kweli Mungu alitambua hivyo lasivyo ingekuwa shida .
Aliumba wadangaji waje ku complement wanaume mabwege ambao hawajisomi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dooooooh
 
q
zina nini kwani
Ndipo zilipoishia kuwaza! But on a serious note tafuta hela mtu wangu yaani mimegundua wewe ni kati ya wanaume ambao huwa wanapigia sana chapuo habari za mwanaume na mwanamke kuhudumiana kiuchumi!

Tofauti tu ni kwamba wanaume wenzio wengi huwa wanapigia chapuo kuhudumiana katika nyanja zote na siyo kiuchumi tu ila wewe unataka mhudumiane kiuchumi tu kwingine kote mwanamke apambane na hali yake! Tena huwa unajifanya kuuchukia na kuupinga vikali huu mfumo wa 50/50 ila eti kwenye pesa unataka mwanamke naye awajibike kutoa pesa sawa na mwanaume duuh!
 
Hahahah its so easy if you really love a man.
Sasa hapo utakuwa unaenda kinyume na huo msemo wako wa mapenzi ni two way traffic! Kwa sababu wanaume wengi wa kiafrika huwa mnataka wanawake ndiyo wajitoe zaidi kwenye mahusiano kwa kisingizio cha mapenzi ilihali ninyi hamuwezi kufanya hivyo!

Hata mimi naweza kukuambia tu kirahisi "it's so easy if you really love a woman" hata kama mwanamke wako ni pasua kichwa! Sidhani kama utakubali yaani ninyi wanaume wa kiafrika hamuwezi kuwafanyia wanawake zenu yale ambayo mngetaka wao wawafanyie!
 
Khaaaaaaa. Kumbe ni hivi? [emoji848][emoji28][emoji23][emoji3][emoji2]
 
Hivi ushajiuliza nini kinakupa furaha kwenye mahusiano? Most likely ni kuwa na mtu mwenye kukuonesha upendo,hekima na busara but not only that you need an empathetic partner!

Ila kwa uzoefu tu hakuna mtu mwenye mahitaji endless kama mwanamke. Unaweza kuwa hivyo still ukawa not enough to her akakuita boring bf just because haumfanyii vituko au haumsumbui akili yake.

Kwa kusema wanaume tuna mahitaji mengi sioni kama tunawafikia nyie honey! Mahitaji yetu ni Universal tu na ukiuliza mwanaume yeyote hawezi kuacha kukwambia hatuitaji kiburi na ujuaji! Uliza wanaume 10 tu uone kama hilo hawatalitaja.
 
Baba Extrovert na wewe ulikuwa marioo ukapigwa chini mbuzi wewe?!! 😬😬😬
 
Nitafute hela mara ngapi mrembo? Nitafute hela mara ngapi mrembo maana basically nina kila kitu ambacho kijana wa kileo anapaswa kuwa nacho. Everything that you wish your man could have!

Ishu ni itikadi tu sababu huwezi lazimisha niishi katika itikadi ambazo zinaku favor wewe eti sababu wanaume wengine wapo hivyo siishi ili kuimpress watu, atleast that makes me a bit different.

Pia, siabudu hio dini ya lazima kumpa mwanamke kila kitu just to feed my ego but niko katika imani ya mwanamke kujitegemea ili kuleta balance katika maisha yetu. Thats why utaona niko Contrary na wanawake wengi wenye kimelea cha uvivu wa fikra.

Wanawake ambao wanadhani kuwa mahusiano ni bed of roses ama sehemu ya kupumzikiana. Mie sina huo ujinga.
 
Baba Extrovert na wewe ulikuwa marioo ukapigwa chini mbuzi wewe?!! 😬😬😬
Hahahah mie sijawahi kuwa Mario mzee! One thing most people don't understand ni itikadi tofauti tu ndio niko nayo.
 
Acha kupotezea mada basi! Stick to the point!
Sasa wewe si ndie unayumba mama. Ishu ilioko mezani huijibu unazalisha maswali yasio na mpango. Kuna mwenzio aliomba aeleweshwe straight akawa na jibu. We unaranda randa!

Can you stand for your man financially without feeling bad about it?
 
Nipe namba ake Mie Mkuu... Fanya kweli[emoji41][emoji41]
 
Mwanamme lazma atoe kwa mke but also mke lazma atoe kwa mume at times! Hii vita huwa kubwa sana kwa wanawake wanaojihesabia haki kama vilema katika mahusiano.

Hizo zama zilishapita, kidume unafanya kazi unaingiza hela mke anakupiga spoku miaka nenda rudi, siku kazi ikiisha all you got for us ni masimango tu kama vile hatukufanya kitu katika maisha yenu.

Mie niko against hili, na ndio msingi wa ku stick katika itikadi yangu. Mwanamke awe na self-reliance but pia with giving spirit. Sio mwanamke mchoyo na mbinafsi tu haya ndio huwa manyanyasaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…