hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,890
- 2,795
Hivi Guinness ni tamu eeeeh?Aisee hii mada umeielewa vyema kabisa upo wapi wkend hii nikununulie japo Guinness mbili za bardi
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Guinness ni tamu eeeeh?Aisee hii mada umeielewa vyema kabisa upo wapi wkend hii nikununulie japo Guinness mbili za bardi
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Daaaah. NdefuuuuuuuGroup conformity and African culture ni mojawapo ya sababu kubwa za Watu weusi kuendelea kuwa Maskini, Wakati weusi mnaitana majina yakukatishana tamaa km Mario, Goal keeper na kuogopa ke'' wenye hela. Wazungu wao wanaamini ''kila mwanaume mwenye mafanikio nyuma yake kuna Mwanamke'', wanajali, kulinda mke na mnyama kwa hali ya juu! ndiyo siri walio nayo!
Mwanaume Oa tu hata km amekuzidi kipato ukinyanyasika ni fursa adimu kwako, ichukulie kama changamoto, kichocheo cha kukutoa kwenye Umaskini, tumia hela zake kujinufaisha ili mwisho wa siku uwe hela kumzidi yeye!! na uendelee kumheshimu na kumpenda zaidi kwa kukunyanysa. uwe makini tu asikuue!
Hata ukikwepa ujue unaweza oa mwanamke Goal keeper, House girl maskini lkn na bado akatajirika kukupita kwa kutumia hela zako hizo!! kwakujiunga na vikoba tu akafika mbali sasa je utamuacha?
Mleta Mada kumbuka tuna Ma boss wanawake maofisini kwetu huko, Waalimu, wafanyakazi wenzetu ke'' tunaolingana kipato lkn wanazo, Jeshini huko ndo usiseme ki-mdada kinalingana na mdogo wako lkn unakapigia saluti na kanakutuma. utasikia ''weee kopro kuja hapa!!!
Umesahau JKT wakati ukiwa Kuruta? unaonaje vile vidada vikopro vilivyokuwa vinawaendesha, una ndevu na Degree yako ya mlimani!!! huko kooote ni wewe ujifunze ! sidhani kwa mtu aliyepita huku ataogopa kuitwa Mario!!! lkn wengine hatuwalaumu sababu hawajui.
Matajiri wengi ni wake zao ndo kisababishi, akimwaacha tu kwa dharau bila chochote na kuoa mke mwingine, lazima utajiri uporomoke! na wengine kuwa maskini kabisaa kama ''Yego store''. Matajiri hutafuta wanawake/ume wenye harufu ya utajiri. waoane na watoto wao!
DoooooohWoii mbona umeng'ang'ania kujitegemea? Kwa taarifa yako mimi hapa nilipo ninajitegemea na wala sijaanza jana wala juzi!
Na katika umri huu nilio nao tayari nimeshashuhudia utopolo mwingi kwenye mahusiano ya watu kiasi kwamba kwangu mapenzi nayaona kama ujinga tu! I know a couple or two that inspire me to stay single!
Hahaha pole
Ndipo zilipoishia kuwaza! But on a serious note tafuta hela mtu wangu yaani mimegundua wewe ni kati ya wanaume ambao huwa wanapigia sana chapuo habari za mwanaume na mwanamke kuhudumiana kiuchumi!q
zina nini kwani
Acha kupotezea mada basi! Stick to the point!Acha kukaza ubongo basi
Sasa hapo utakuwa unaenda kinyume na huo msemo wako wa mapenzi ni two way traffic! Kwa sababu wanaume wengi wa kiafrika huwa mnataka wanawake ndiyo wajitoe zaidi kwenye mahusiano kwa kisingizio cha mapenzi ilihali ninyi hamuwezi kufanya hivyo!Hahahah its so easy if you really love a man.
Ndiyo hivyo mkuu! Shangaa ila usibishe!Sitaki hiyo pole yako kama nawewe ni miongoni mwa wanaofanya hivyo [emoji13]
Khaaaaaaa. Kumbe ni hivi? [emoji848][emoji28][emoji23][emoji3][emoji2]Ndipo zilipoishia kuwaza! But on a serious note tafuta hela mtu wangu yaani mimegundua wewe ni kati ya wanaume ambao huwa wanapigia sana chapuo habari za mwanaume na mwanamke kuhudumiana kiuchumi!
Tofauti tu ni kwamba wanaume wenzio wengi huwa wanapigia chapuo kuhudumiana katika nyanja zote na siyo kiuchumi tu ila wewe unataka mhudumiane kiuchumi tu kwingine kote mwanamke apambane na hali yake! Tena huwa unajifanya kuuchukia na kuupinga vikali huu mfumo wa 50/50 ila eti kwenye pesa unataka mwanamke naye awajibike kutoa pesa sawa na mwanaume duuh!
Ndiyo hivyo mkuu! Shangaa ila usibishe!
Hivi ushajiuliza nini kinakupa furaha kwenye mahusiano? Most likely ni kuwa na mtu mwenye kukuonesha upendo,hekima na busara but not only that you need an empathetic partner!Sasa hapo utakuwa unaenda kinyume na huo msemo wako wa mapenzi ni two way traffic! Kwa sababu wanaume wengi wa kiafrika huwa mnataka wanawake ndiyo wajitoe zaidi kwenye mahusiano kwa kisingizio cha mapenzi ilihali ninyi hamuwezi kufanya hivyo!
Hata mimi naweza kukuambia tu kirahisi "it's so easy if you really love a woman" hata kama mwanamke wako ni pasua kichwa! Sidhani kama utakubali yaani ninyi wanaume wa kiafrika hamuwezi kuwafanyia wanawake zenu yale ambayo mngetaka wao wawafanyie!
Nitafute hela mara ngapi mrembo?Ndipo zilipoishia kuwaza! But on a serious note tafuta hela mtu wangu yaani mimegundua wewe ni kati ya wanaume ambao huwa wanapigia sana chapuo habari za mwanaume na mwanamke kuhudumiana kiuchumi!
Tofauti tu ni kwamba wanaume wenzio wengi huwa wanapigia chapuo kuhudumiana katika nyanja zote na siyo kiuchumi tu ila wewe unataka mhudumiane kiuchumi tu kwingine kote mwanamke apambane na hali yake! Tena huwa unajifanya kuuchukia na kuupinga vikali huu mfumo wa 50/50 ila eti kwenye pesa unataka mwanamke naye awajibike kutoa pesa sawa na mwanaume duuh!
Nitafute hela mara ngapi mrembo maana basically nina kila kitu ambacho kijana wa kileo anapaswa kuwa nacho. Everything that you wish your man could have!Ndipo zilipoishia kuwaza! But on a serious note tafuta hela mtu wangu yaani mimegundua wewe ni kati ya wanaume ambao huwa wanapigia sana chapuo habari za mwanaume na mwanamke kuhudumiana kiuchumi!
Tofauti tu ni kwamba wanaume wenzio wengi huwa wanapigia chapuo kuhudumiana katika nyanja zote na siyo kiuchumi tu ila wewe unataka mhudumiane kiuchumi tu kwingine kote mwanamke apambane na hali yake! Tena huwa unajifanya kuuchukia na kuupinga vikali huu mfumo wa 50/50 ila eti kwenye pesa unataka mwanamke naye awajibike kutoa pesa sawa na mwanaume duuh!
Sasa wewe si ndie unayumba mama. Ishu ilioko mezani huijibu unazalisha maswali yasio na mpango. Kuna mwenzio aliomba aeleweshwe straight akawa na jibu. We unaranda randa!Acha kupotezea mada basi! Stick to the point!
Nipe namba ake Mie Mkuu... Fanya kweli[emoji41][emoji41]Mi bhanaaa kuna moja kanipenda Sanaa.
Ila sasa huyu dada alikuwa na pesa Sana na ukweli alikuwa anamwili mzuri ispokuwa alikuwa kujichubua.
Ndinga nzuri tuu haria yake maskini tako la nyani basi mwanaume Nika Naswa na dada huyu.Japo ki ukweli Moyoni hata hakuwepo wala niniii.Ila maisha mazuri pesa yake Gari yake Mzee Baba nikawa Mario ki ukwelii.Dada akawa anafunguka Sana Shida zake Ila Mimi na mchora tuu.
Ila sasa Mimi kila nikimuoneshea sign kama simuelewi anatumia pesa nyingi kama kunifanya nimpende basi mwanaume ikanibidi niwe mpole niendelee Kula mzigo na Haria metallic colour kuzunguka nayo town huku bi mama anaanda chapati na Supu ya kuku wa kienyeji bhana.
Ila nashukuru Mungu kutoka kwenye huu mtego maana bi dada alikuwa anakaba mpaka kero alafu ukimcheki viwango hanaa.Halipi lakini hiyo ela ndo ilikuwa inanizuzuaa bhanaa dah.
Yaan akitoka Job hataki nikae mbali nae nlipata taabu [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila dah afadhali maisha ya Umario ya Kisengerema sanaaa.
Mwanamme lazma atoe kwa mke but also mke lazma atoe kwa mume at times! Hii vita huwa kubwa sana kwa wanawake wanaojihesabia haki kama vilema katika mahusiano.Sasa hapo utakuwa unaenda kinyume na huo msemo wako wa mapenzi ni two way traffic! Kwa sababu wanaume wengi wa kiafrika huwa mnataka wanawake ndiyo wajitoe zaidi kwenye mahusiano kwa kisingizio cha mapenzi ilihali ninyi hamuwezi kufanya hivyo!
Hata mimi naweza kukuambia tu kirahisi "it's so easy if you really love a woman" hata kama mwanamke wako ni pasua kichwa! Sidhani kama utakubali yaani ninyi wanaume wa kiafrika hamuwezi kuwafanyia wanawake zenu yale ambayo mngetaka wao wawafanyie!