Mapenzi ni 2 way traffic, stop being bitter

Epuka Sana mwanamke mwenye roho ya kimaskin Ni Bora ununue Malaya ule mzgo afu tembea kuliko ku date na nguruwe ya namna hyo

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Title yako iko controversial sana, nilidhani unaongelea mambo ya waitaliano..
🀣🀣🀣
 
Epuka Sana mwanamke mwenye roho ya kimaskin Ni Bora ununue Malaya ule mzgo afu tembea kuliko ku date na nguruwe ya namna hyo

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Kaka hiyo Tecno ina mwandiko mkali sana. Nahisi button zake zilitengenezwa na maganda ya ndimu na pilipili.
Kuna haja ya kuhamia Redmi Mkuu [emoji12][emoji28]
 
Nimetoka kumpiga baby mama kizinga cha 500k kama utani Mzigo huu hapa,kuna ngedere 1 ilikua pembeni yangu nili iambia kama inanipenda kweli ininunulie Mdudu 1KG akaniambia yuko tayari anipe K ila sio atoe hela yake anipe mimi (mwanaume).

nikamwambia kaa tulia hapo hapo nikuonyeshe kitu kimoja,nikavuta simu nikampiga kizinga maza mjengo Maswali hayakua mengi nikaona "imethibitishwa",nikamuonyesha huyu ngedere ya pembeni angu,akaanza leta zake oooh,hiyo ilikua hela yako,ooh huyo sio mkeo n mfanyakazi wako,maneno kibao.

mwisho nikamwambia "nikwambie kitu" wewe ni maskini Jitahidi ufanye kazi kwa bidii sana sana Muombe Mungu akupe pumzi maana bado una deni kubwa sana hapa duniani,kama kawaida ake akaanza tena mbwembwe oooooh hata niwe bilionea bado msimamo wangu ni ule ule,nikamwambia hebu nenda huko jikoni kawambie watutengenezee mdudu watuletee hapa.
 
Wa sampuli hii ndio huwa wanakuja kukutana na wanaume vilaza huko mbeleni.

Sasa wewe unakuta kabinti hakajafika hata 20 Kameanza kusema wanaume ni mbwa, hivi wanaume amewajulia wapi, anatembea na wavulana badala ya kusoma anasema wanaume mbwa.
Yupo likizo huyo
 
Nikimpenda somebody's son niwe na hela kidogo au nyingi lazima nimgawie yani ni lazima and sijawahi kuona kama ni kosa.

N.B: simsimangi na simpi ili arudishe zaidi.
Niko Chanika huku ila nikitoka nataka nije nikupe kinywaji upendacho mrembo, naomba location. Uko vizuri sana!😍
 
Woii kwa wanaume wa kiafrika definition ya kiburi na ujuaji ni pana sana! Yaani mwanamke akimkosoa tu tayari kashaitwa kiburi na mjuaji hata kama kweli mwanaume kakosea!
 
Sasa kama hauishi hivyo mbona bado una imani ya kuwa kazi za ndani ni za mwanamke tu wakati hayo ni kwa mujibu wa biblia? Kwahiyo na wewe tukuite mvivu tu si ndiyo?
 
Sasa wewe si ndie unayumba mama. Ishu ilioko mezani huijibu unazalisha maswali yasio na mpango. Kuna mwenzio aliomba aeleweshwe straight akawa na jibu. We unaranda randa!

Can you stand for your man financially without feeling bad about it?
Kwangu mimi it depends kwa kweli! Mnatakiwa mjue kuwa siyo kila mwanaume anastahili hizo huduma kama anbavyo ninyi mnaona kuwa siyo kila mwanamke anastahili hizo huduma!
 
Ndiyo maana nikakuambia inategemea na tabia za mwanaume! Wanawake siyo kuwa hatupendi kutoa ila wanaume wengi siku hizi mmejisahau sana!
 
hahaha Kuna msemo eti mwanaume akikupenda atatoa kila kitu utakachoomba bila kujali . Je wewe ukimpenda mwanamke uko radhi kutoa kila kitu kwake ?
Ni ukweli mkuu! Mnaobwabwaja humu hamjapenda!
 
hahaha Kuna msemo eti mwanaume akikupenda atatoa kila kitu utakachoomba bila kujali . Je wewe ukimpenda mwanamke uko radhi kutoa kila kitu kwake ?
Ni ukweli mkuu! Mnaobwabwaja humu hamjapenda!
 
Itategemea na akili ya huyo mwanamke na itikadi zake. Kama ni mchoyo na mbinafsi ataambulia kiepe yai tu[emoji23][emoji23][emoji23]!

Ila kama yupo generous na roho ya kitajiri huyo naweza kwenda beyond kumpa hata mipango yangu.
Kwanini itegemee na mwanamke? Kwanini usianze wewe kumpa mipango yako then ndiyo uone kama na yeye ni generous au mbinafsi tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…