Mapenzi ni 2 way traffic, stop being bitter

Sasa wewe unaongelea matatizo kwenye tatizo kama hilo ni sawa mwanamke anatakiwa akusaidie! Ila tangu mwanzo ulikuwa unasema mwanamke awe anatoa pesa sawa na wewe ambavyo unatoa hapo unakuwa umezingua!
 
Tatizo mnalalamika sana humu hivyo mnaleta mixed signals! Tumezoea wenye pesa huwa hawalalamikii vitu vidogo kama hivi!
 
Ww naona hujaelewa mada ipoje,na kama umeelewa basi ni mmoja ya wanawake waliotajwa kwenye hiyo mada maana kinachozungumzwa ni tofauti kabisa na unachokiongelea ww.
Wewe umeelewa nini? Tuanze hapo kwanza?
 
Siyo kwamba sipendi kufanya kazi za ndani ila si mambo kusaidiana bwana au vipi? Kingine hebu nipe andiko linaloruhusu mwanaume kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja naomba usinipe story za kina Mfalme Suleiman tafadhali kwa sababu ukinipa hizo na mimi nitakupa za Mtume Paulo!
 
Kama ni kwenye matatizo hapo mbona tutaelewana vizuri utasaidiwa vizuri ninachopinga mimi ni kutaka mwanamke naye atoea SAWA SAWA na unavyotoa wewe duuh! Halafu kumbuka kuna wanaume huwa wanafilisika sababu ya kuhonga kwa michepuko ila hao nao watatumia kichaka cha tajiri amechelewa kuingiza mshahara ili mke ampige tafu hii nayo imekaaje?
 
Mwijaku si choko tu nae [emoji23][emoji23][emoji23] anamtukuza sana mwanamke. Hapo wanawake wanajifeel thyself kinoma [emoji28][emoji28][emoji28]!!!
To a black man like me...a woman is a damn woman!!!
Si unaona sasa! Basi acheni black women tuwahandle kiblack black tu hakuna namna tutawapeleka sawa na mawazo yenu hadi hapo mtakapoamua kubadilika!

Kumbe kumheshimu mwanamke ni uchoko! Aiseee nahisi nina mengi ya kujifunza bado!
 
Je ni ndoa ngapi wanandoa wanafanyiana hayo uliyoyaainisha hapo? Hasa wanaume ni wangapi wanafanya hayo kwa wake zao?
 
Je ni ndoa ngapi wanandoa wanafanyiana hayo uliyoyaainisha hapo? Hasa wanaume ni wangapi wanafanya hayo kwa wake zao?
 
Tatizo wanaume wa kufanyiwa hayo yote siku hizi hawapo! Mkae mkijua hilo!
 
Teh teh i have nothing to lose my friend! Tena kwangu mimi kutokuwa kwenye mahusiano au ndoa naona kama ndiyo nimejipunguzia mzigo mkubwa ambao nisingeweza kuubeba for the rest of my life!

Nimezungukwa na watu wengi sana wenye mahusiano mazuri na mabaya na najifunza kupitia mahusiano ya aina zote! Lakini kutoka moyoni mwangu kabisa niliyoyashuhudia kwenye mahusiano mabaya yamenifanya niamue kuwa sitaki kujiingiza kwenye mapenzi hadi nakufa fullstop!
 
Punguza jazba hii mada ni laini inatakiwa kujadiliwa kwa utulivu....
From the beginning i've been calmly discussing this topic! Mkishindwa kukubali ukweli huku ndiko ambako huwa mnakimbilia!
 
Mahitaji yanatofauti ila both wanaume kwa wanawake wanajitoa sana.... Kuwa mpole.... Maisha hayataki fujo
Wanaume wengi hamtaki kujitoa ila mnataka wanawake ndiyo wajitoe zaidi kwenu! Kama unabisha hili ni mara ngapi wanaume wenzio wanaambiana eti "kwenye mahusiano hakikisha mwanamke ndiyo anakupenda sana siyo wewe mwanaume ndiyo umpende sana" how does that sound?
 
Hio tabia lazima ibadilike na kama haitoshi basi kila mtu a exercise uhuru wa kuchagua. I'll stick to my philosophy!

Anaeona hawezi kujitoa basi aende kwa Mo au Bhakressa akachume tu.
And that is exactly the point! Wanaume mnaolalamika kuhusu haya mambo ni wale ambao hamna hela au mna hela za mawazo na ndiyo maana hapo umewataja kina Mo na Bakhresa kwamba ndiyo wanafaa kutoa pesa!

Again unajicontradict mwenyewe kuwa the issue siyo itikadi bali ni changamoto ya pesa! Usijali tafuta pesa ukiwa nazo utatoa tu na wala hautakaa unalalamika na kuwalaumu wanawake kwa mambo madogo kama haya!
 
Wa sampuli hii ndio huwa wanakuja kukutana na wanaume vilaza huko mbeleni.

Sasa wewe unakuta kabinti hakajafika hata 20 Kameanza kusema wanaume ni mbwa, hivi wanaume amewajulia wapi, anatembea na wavulana badala ya kusoma anasema wanaume mbwa.
Hata hao wavulana pia hujiita wanaume! Mimi sina imani hiyo na wala sijawahi kusema wanaume wote ni mbwa sifanyagi generalization za hovyo hata siku moja!
 
Wanamna hiyo unatakiwa namba yake ugawe kwa mabaharia ili watutengenezee connection video
 
Hebu tupatie mifano hai ya demand za wanaume ambazo wewe zinakuchosha na kukufanya uone wanaume wanademand a lot from women?!
Nikikutajia utasema ni za kawaida kwa sababu eti mwanamke kaumbwa kufanya hivyo! Nikuulize swali je wewe unaweza mfanyia mwanamke wako vile ambavyo unataka yeye akufanyie?
 
Una miaka mingapi kwa sasa?!

Maana nataka tukuhesabie hadi ukifika 28 tu tayari huu utoto utakuwa umekwisha....
 
Nikikutajia utasema ni za kawaida kwa sababu eti mwanamke kaumbwa kufanya hivyo! Nikuulize swali je wewe unaweza mfanyia mwanamke wako vile ambavyo unataka yeye akufanyie?
Nimekuuliza swali, haujajibu unaniuliza swali.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…