Aurora
JF-Expert Member
- May 25, 2014
- 7,308
- 5,272
hahahaha dah itabidi niijaribuBila kusahau riba π π π π π π
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaha dah itabidi niijaribuBila kusahau riba π π π π π π
yes ni kweliHayo ni maneno tu ya kufanya wanaume wajitambue na kuwa responsible kuacha kutegemea pesa ya mwanamke...... But in reality mnapokuwa pamoja chochote kinachopatikana mnashare
Yeah truekweli
Sasa unajuaje kama siishi ninayoyajibu humu? Mbona unaumia sana juu maisha yangu jamani maana siyo mara moja wala mara mbili nikiongelea kuhusu mimi kufurahia kuwa single unajifanya kuchukia na kunikejeli mara oohh sijui umri sijui nini mwee!Sasa mbona unahangaika na kujibu si uishi sasa hayo maneno unayotuambia.....
Unakuwa na biti kali kama wale dogi koko wanaolilia kwenye geti ukiinama tu kuokota jiwe wanatoka baruti.
Aaaah unakera. Wewe ukisema upo single maana yake si unalala na wanaume tofauti,sasa unataka nani afurahie hayo maamuzi yako....Sasa unajuaje kama siishi ninayoyajibu humu? Mbona unaumia sana juu maisha yangu jamani maana siyo mara moja wala mara mbili nikiongelea kuhusu mimi kufurahia kuwa single unajifanya kuchukia na kunikejeli mara oohh sijui umri sijui nini mwee!
Hivi ni mimi ndiyo sijui maana ya mtu kuwa single au [emoji2368][emoji2368][emoji2368][emoji2368]Aaaah unakera. Wewe ukisema upo single maana yake si unalala na wanaume tofauti,sasa unataka nani afurahie hayo maamuzi yako....
Uwe single wewe mtawa(sista wa Roman)?!Hivi ni mimi ndiyo sijui maana ya mtu kuwa single au [emoji2368][emoji2368][emoji2368][emoji2368]
You guys are ridiculous. Yani kale ka keyholder ka mbao si buku 2 tu kale kisha kameandikwa jina πππ wallet ya buku 3! Nyie muna nini lakini kwani zawadi za laki hamna warembo?πππ Yani mkitumia ef10 on us nahisi mnapataga ganzi.Asa tuwe tunawanunulia nini zaidi ya engraved wallets na key holders zenye maandishi π πππππ
Exactly japo kuna mengine ni machungu tu sababu ya roho ya kimaskini na choyo. If a man can spend a half a million on you kuna ugumu gani nawe siku ukiwa vizuri ukaspend on him. Sio lazma kwa hela nyingi hivyo ila kadri ya uwezo wako tu which is likely more than hizo buku 5 zao za boxa za Banana republic na Vest za Spider πππNimekusoma nakukuelewa sana mleta mada!! Hii issue ya dada zetu kuwa ivyo walivyo nafikiri ni ubinafsi na kutokupenda ukiona mwanamke hawezi kutumia pesa yake akiwa na wewe au kukupa lakini wewe unaweza kumpa na akafurahi na yeye kazi anafanya!!! Basi jua kuna sehemu anatoa kiulaini sana brother... Maana kama hawezi kutumia na wewe mpenzi wake jiulize anatumia na nani na anafanyia nini izo pesa?
Ndio maana mie na discourage mfumo huo wa kinyonyaji. I might sound crazy ila nina maana kubwa tu ambayo mtu mwenye akili ndogo hawezi ng'amua.Hapa ndio wanaume wanafilisika, na umasikini kwa % kubwa huanzia hapa, mwanamke lazima atoe budget ya familia kama ameolea na wajadili kama hio budget inawezekana ( hapa wanawake hawataki kabisa kutoa budget kwani ndio sehemu wanaibia, mwanaume akifuatilia matumizi basi wanawake wazidisha matumizi kwa kutumia vitu rafu na kuharibu ili ionekane matumizi ni makubwa), kama ni friends lazima kila mtu abebe gharama zake za maisha yake na yeyote mwenye kuhitaji msaada aombe na isiwe ni mazoea ( hawa wanawake watesema hawapendwi au mwanaume hana pesa au bahili na watakimbia) % kubwa ya wanaume wanauwezo wa kufanikiwa kipesa kama ataweza kuwakwepa hawa predators
"Nikimpata mwenye sifa ninazozitaka mbona sioni shida kabisa"Umeshasema hauna mpango wa kuingia kwenye mahusiano..... Tena sasa unasema ukimpata.... Hivi wewe upo sawa kweli kweli?!
Msikariri maisha eti! Siyo kila mtu hapa duniani anahitaji ngono!Uwe single wewe mtawa(sista wa Roman)?!
I am only responsible for what i say honey! What you perceive is totally none of my business!"Nikimpata mwenye sifa ninazozitaka mbona sioni shida kabisa"
Translation: Nikimpata bwege ambaye naweza kumpelekesha mbona sioni shida kabisa.
Hao ndio wanawake[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3] yes upo sahihi brother! Niamini wanawake wenye wanaume wanaowapenda issue za pesa kwao sio tatizo kabisa na hata akiamua kukunulia boxa utapata zile cotton zenye quality na atakuletea dozen nzima sio 2 au 1Exactly japo kuna mengine ni machungu tu sababu ya roho ya kimaskini na choyo. If a man can spend a half a million on you kuna ugumu gani nawe siku ukiwa vizuri ukaspend on him. Sio lazma kwa hela nyingi hivyo ila kadri ya uwezo wako tu which is likely more than hizo buku 5 zao za boxa za Banana republic na Vest za Spider [emoji23][emoji23][emoji23]
Boxer zenyewe zile dozen 80k sio tuboxa twa 15k zinakaa tatuπππππ[emoji3][emoji3][emoji3] yes upo sahihi brother! Niamini wanawake wenye wanaume wanaowapenda issue za pesa kwao sio tatizo kabisa na hata akiamua kukunulia boxa utapata zile cotton zenye quality na atakuletea dozen nzima sio 2 au 1
Sio ganzi tu na degedege juuππππ..You guys are ridiculous. Yani kale ka keyholder ka mbao si buku 2 tu kale kisha kameandikwa jina πππ wallet ya buku 3! Nyie muna nini lakini kwani zawadi za laki hamna warembo?πππ Yani mkitumia ef10 on us nahisi mnapataga ganzi.
Hahahahah kwahio neno Ndoa ni ulimbo kumbe πππSio ganzi tu na degedege juuππππ..
Ila honestly speaking if you love and trust a man huezi kuumia spending on him, tena unatoa kwa moyo (sizungumzii kutoa ili kupalilia ndoa maana men nowadays wakijua wanapendwa na hapo washatanguliza neno ndoa wanajua hata waombe mahela mangapi she atatoa tu).
Asalalee likitamkwa hilo lazima unaseππHahahahah kwahio neno Ndoa ni ulimbo kumbe πππ