Mapenzi ni 2 way traffic, stop being bitter

Sema nini mmetukamia sana na tuboksa boksa, vest, mikanda na socks [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23]

Sio tumewakamia ndio uhalisia wa wengi wenu ndio zawadi mnazotoa kwa asilimia kubwa zikiambatana na maneno ya kashfa mkiachana. Ooh nmemvalisha nmempendezesha alikua hajui hata kuvaa alafu kaniacha [emoji38][emoji38]
 
Unajikuta unasemwa duniani hadi mbinguni😂
 
Unacheka kama mazuri vile [emoji1][emoji1][emoji1]

Hela ya ke ni chungu sana huwa inawafaa wenyewe imagine hata kwa matumizi yake binafsi bado inamuuma [emoji23][emoji23]
Hahahah yani demu akijipeleka mgahawani ataagiza wali marage ila ukimpeleka wewe lazma aagize biriani kuku.
 
Unajikuta unasemwa duniani hadi mbinguni[emoji23]
Ndio hvyo lakini hakuna namna bado tunawapenda na kuwajali sana.

Hahahah yani demu akijipeleka mgahawani ataagiza wali marage ila ukimpeleka wewe lazma aagize biriani kuku.

[emoji23] na hapo hajawai kula amesikia pira biriani anaamua kuja kuitest kwako [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio hvyo lakini hakuna namna bado tunawapenda na kuwajali sana.

[emoji23] na hapo hajawai kula amesikia pira biriani anaamua kuja kuitest kwako [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio zao hao
 
To be honest hakuna kitu sipendi kama kumuomba hela mtu.Huwa natamani muhusika mwenyewe ndo anipe bila kumuomba.Ni vile Tu sa ingine Mambo yako yanakwama inabidi uombe.

Mara nyingi Sisi wanawake huwa tunapenda kupokea na si kutoa.Nadhani hiyo ndo asili toka Adam na Hawa.Mungu alivyosema mwanaume utakula kwa jasho nadhani pale Alimaliza kila kitu.Kutoka jasho si mchezo mpaka uchakarike hasa.Basi na si ndo tunaona hapo ndo mnatakiwa mpambane ili tuishi mjini.Japo huw natamani Sana ningekua na uwezo kila linahusu fedha ningelimaliza mwenyewe starting from school fees,chakula na kila kitu.
 
Mwanaume ni mtawala babu, uliona wapi mtawala analishwa.
badilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…