Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
[emoji23][emoji23] au anakuomba hela akakununulie zawadi
Hahah humu umewachana hadi watakumaindi askari wangu 😂😂😂!!! Wale wa "Lazima mwanaume anihudumie" unajiuliza hao wengine ambao hawalilii huduma wana tofauti gani na nyie? Mbona wapo na maisha yao yanaenda poa tu na hela ndio wanapewa hadi wanafanya kuzikataa 😂😂😂Mwanaume kumuogopa Mwanamke mwenye kipato ukidhani kua atakudharau huo Ni udhaifu hujiamin kabisa.
Mapenzi ya kibongo fanya uwezavyo acha Mwanamke akupende Sana Mwanaume.. sio Mwanaume umpende Mwanamke Sana utaishia kilio ..!
Jiulize kwa nn Mwanaume anaejikutaga anajua ku care Sana yani mwanamke asitake nn lazima apewe hao wanaume wanaishiaga vilio na usaliti mkubwa plus kujinyoga juu?
Ukiwa na Mwanamke yeye anachoweza ku offer kwako Ni kupanua mapaja tuu ohhh wafwaa....!
Mapenzi Ni two ways traffic yani mpeane ..!
Siwezi ku date mwanamke omba omba..! Siwezi date mwanamke aliyejiwekea fikira kwamba Mwanaume Ni provider wa kila kitu dunia hii..!
Siwezi ku date mwanamke fukara na maskin kwa sababu Hawa watapoteza nyota yako na badala ya upige hatua kwenda mbele utakua unapiga reverse tu ..matatizo ya familia yake atakuletea wewe bado na yeye ana shida zake ...binti mko kwenye mahusiano wiki mbili utaskia mama kalazwa mara mdogo wangu kafukuzwa shule ...! Ajabu li mwanamke Kama hili unalisaidia badae linakusaliti..!
Siwezi kumuogopa Mwanamke kisa kanizid kipato as long as najua Mimi Ni Mwanaume na sio Marioo ataishi chin Yangu nikiongea lazima ajue kua Mwanaume ameongea.Na lazima tupeane mapenzi Safi kabisa bila upande wowote kuumia
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Sex yenyewe inatoka kwa mkataba😂😂😂! Umpe hela ya saluni ndio akupe tundu.[emoji23][emoji23] hatari mkuu ndio hapo nkaanza kuamini kuwa wanawake wengi hawana cha kuoffer kwa mwanaume zaidi ya Kei(sex) lakini bado hata hicho kuna baadhi bado wanaminya sana na huku bado wakihitaji wahudumiwe/wagharamiwe.
Chuki mbaya sana hio dah, mungu amsaidie kwa kweli
Hahahaha hio kiboko mzee, yani demu ananiomba hela akaninulie zawadi? 😂😂😂 Sasa hio ni zawadi au masihara.[emoji23] yani anakuomba hela akakununulie zawadi unampa 50k anarudi na zawadi ya buku jero [emoji23] wanawake wa hivi shikamooni sana popote mlipo.
Same case as mine. Kuna ng'ombe nilikuwa nayo nikajua ni mtu. Kuisapoti ipate kazi ikaanza niletea hizo swaga za "nije kuwa na nyumba yangu" nikamtazama tu. Mwisho wa siku vituko vyake vikanishinda nikamwambia maisha ni safari, mimi siwezi kuendelea na wewe..... Unanisumbua kichwa....Na ninaogopa sana mtu wa hivyo, kuna siku alisema nataka nije kuwa na kwangu nijenge nyumba yangu peke yangu nikamuangalia tu akaendelea kusema nije kuwa na watoto wangu nikamuuliza hao watoto atawanya kama anakuwa na ubinafsi kiasi hicho? Apo kidogo akatulia kimya ila malezi ya mzazi mmoja yanachangia sana hawa dada zetu kuwa na ubinafsi hasa kama kalelewa na mama ambae ameachika.
Azae alee mwenyewe tu mbuzi katoliki huyo 😂😂😂! Sipati picha hio migubu yake mjengoni.Nilimshauri sana na kujitahidi kumuelekeza abadilike lakini ikashindikana ndani yake ameshajazwa chuki juu ya wanaume tangu akiwa mdogo imagine mpaka anasema hakuna haja ya kuolewa atazaa tu.
Hahaa wanao mind Ni wale selfish ,maskin wa fikira na kila kituHahah humu umewachana hadi watakumaindi askari wangu [emoji23][emoji23][emoji23]!!! Wale wa "Lazima mwanaume anihudumie" unajiuliza hao wengine ambao hawalilii huduma wana tofauti gani na nyie? Mbona wapo na maisha yao yanaenda poa tu na hela ndio wanapewa hadi wanafanya kuzikataa [emoji23][emoji23][emoji23]
Sex yenyewe inatoka kwa mkataba[emoji23][emoji23][emoji23]! Umpe hela ya saluni ndio akupe tundu.
Kuna akina mama ni wapuuzi sana. Anaongea na binti yake as if anaongea na shost yake. Hajui yale maneno yanamuharibu akili.Kalelewa na mama kwa mda mrefu nahisi nayeye kalishwa sumu ya maneno kuhusu wanaume bila kujua ukweli kuhusu wazazi wake kutengana, hajali kuhusu upendo kwa mwanaume na nililijua hilo kwa sababu mengi anayosema reference ilikuwa baba yake.
Same case as mine. Kuna ng'ombe nilikuwa nayo nikajua ni mtu. Kuisapoti ipate kazi ikaanza niletea hizo swaga za "nije kuwa na nyumba yangu" nikamtazama tu. Mwisho wa siku vituko vyake vikanishinda nikamwambia maisha ni safari, mimi siwezi kuendelea na wewe..... Unanisumbua kichwa....
Mie mapenzi ya hivyo siwezi, nataka mwanamke ambaye yuko fully independent. Mapenzi ya kuanza kuumiza kichwa na hela za saluni sifanyagi, mizinga ya hovyo hovyo waiii! Demu awe fully fledged lets meet at the top. Lengo ni mapenzi tu sio kusumbuana.Hili huwa linanishangaza sana alafu atasema hauzi. Me huwa najitahidi kuhudumia vizuri lakini ikishafikia hiyo hali ya kubaniwa mchezo huwa najitoa maana sifugi mtu.
Azae alee mwenyewe tu mbuzi katoliki huyo [emoji23][emoji23][emoji23]! Sipati picha hio migubu yake mjengoni.
Hahahahahah yani bora iwe after several days. Day one demu nauli ya kuja hana 😂 na ya kuondokea. Aisee sijawahi kuona sehemu yenye wanawake wa hovyo kama hapa Dar!Imagine una date Dem anakuja kwako unamgegeda mkimaliza anakwambia Sina nauli ...hivi Kama Mwanaume huwezi jiongeza Apo ukajua una date na Malaya kigagula kabisa..! Mimi akiniomba nauli hua natoa ile ile siongezi hata Mia yani Kama Ni mia nne ya daladala naenda kuichenji kabisa nafanya hvo ili achukie na tuachane apo Apo ...! Una date Dem ambae hawezi provide hata nauli? Na nyege anazo
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Kuna mahali alishindwa kumpanga huyo binti. Asingekuwa anafungiwa ndani mda wote. Alikosa munyu ya maneno kwa huyo bintiHahahah most of the times wale wanawake wanaoonesha mapenzi kwetu sio tunaowapendaga by 100% ila katika maisha lazma ujifunze kuridhika sababu mungu huwa hakupi utakacho ila unachostahili tu.
Kwahio mkuu ulikuwa unafungiwa ndani kama mwali tu [emoji23][emoji23][emoji23]! Hio biashara hapana
Usijenge mazoea na takataka hiyo, acha ipite hivi. Hakunaga mtu anaweza ishi mwenyewe.... Huyo ni malaya. Atakuwa anakunjwa na kupewa mimba hovyo kama mbwa koko halafu age ikienda anaanza sumbua kupewa matumizi na wanaume ili ajikimu.....Nilimshauri sana na kujitahidi kumuelekeza abadilike lakini ikashindikana ndani yake ameshajazwa chuki juu ya wanaume tangu akiwa mdogo imagine mpaka anasema hakuna haja ya kuolewa atazaa tu.