Mapenzi ni 2 way traffic, stop being bitter

Mapenzi ni 2 way traffic, stop being bitter

Mwanaume kumuogopa Mwanamke mwenye kipato ukidhani kua atakudharau huo Ni udhaifu hujiamin kabisa.
Mapenzi ya kibongo fanya uwezavyo acha Mwanamke akupende Sana Mwanaume.. sio Mwanaume umpende Mwanamke Sana utaishia kilio ..!

Jiulize kwa nn Mwanaume anaejikutaga anajua ku care Sana yani mwanamke asitake nn lazima apewe hao wanaume wanaishiaga vilio na usaliti mkubwa plus kujinyoga juu?

Ukiwa na Mwanamke yeye anachoweza ku offer kwako Ni kupanua mapaja tuu ohhh wafwaa....!
Mapenzi Ni two ways traffic yani mpeane ..!
Siwezi ku date mwanamke omba omba..! Siwezi date mwanamke aliyejiwekea fikira kwamba Mwanaume Ni provider wa kila kitu dunia hii..!
Siwezi ku date mwanamke fukara na maskin kwa sababu Hawa watapoteza nyota yako na badala ya upige hatua kwenda mbele utakua unapiga reverse tu ..matatizo ya familia yake atakuletea wewe bado na yeye ana shida zake ...binti mko kwenye mahusiano wiki mbili utaskia mama kalazwa mara mdogo wangu kafukuzwa shule ...! Ajabu li mwanamke Kama hili unalisaidia badae linakusaliti..!
Siwezi kumuogopa Mwanamke kisa kanizid kipato as long as najua Mimi Ni Mwanaume na sio Marioo ataishi chin Yangu nikiongea lazima ajue kua Mwanaume ameongea.Na lazima tupeane mapenzi Safi kabisa bila upande wowote kuumia

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Hahah humu umewachana hadi watakumaindi askari wangu 😂😂😂!!! Wale wa "Lazima mwanaume anihudumie" unajiuliza hao wengine ambao hawalilii huduma wana tofauti gani na nyie? Mbona wapo na maisha yao yanaenda poa tu na hela ndio wanapewa hadi wanafanya kuzikataa 😂😂😂
 
[emoji23][emoji23] hatari mkuu ndio hapo nkaanza kuamini kuwa wanawake wengi hawana cha kuoffer kwa mwanaume zaidi ya Kei(sex) lakini bado hata hicho kuna baadhi bado wanaminya sana na huku bado wakihitaji wahudumiwe/wagharamiwe.
Sex yenyewe inatoka kwa mkataba😂😂😂! Umpe hela ya saluni ndio akupe tundu.
 
[emoji23] yani anakuomba hela akakununulie zawadi unampa 50k anarudi na zawadi ya buku jero [emoji23] wanawake wa hivi shikamooni sana popote mlipo.
Hahahaha hio kiboko mzee, yani demu ananiomba hela akaninulie zawadi? 😂😂😂 Sasa hio ni zawadi au masihara.
 
Na ninaogopa sana mtu wa hivyo, kuna siku alisema nataka nije kuwa na kwangu nijenge nyumba yangu peke yangu nikamuangalia tu akaendelea kusema nije kuwa na watoto wangu nikamuuliza hao watoto atawanya kama anakuwa na ubinafsi kiasi hicho? Apo kidogo akatulia kimya ila malezi ya mzazi mmoja yanachangia sana hawa dada zetu kuwa na ubinafsi hasa kama kalelewa na mama ambae ameachika.
Same case as mine. Kuna ng'ombe nilikuwa nayo nikajua ni mtu. Kuisapoti ipate kazi ikaanza niletea hizo swaga za "nije kuwa na nyumba yangu" nikamtazama tu. Mwisho wa siku vituko vyake vikanishinda nikamwambia maisha ni safari, mimi siwezi kuendelea na wewe..... Unanisumbua kichwa....
 
Nilimshauri sana na kujitahidi kumuelekeza abadilike lakini ikashindikana ndani yake ameshajazwa chuki juu ya wanaume tangu akiwa mdogo imagine mpaka anasema hakuna haja ya kuolewa atazaa tu.
Azae alee mwenyewe tu mbuzi katoliki huyo 😂😂😂! Sipati picha hio migubu yake mjengoni.
 
Hahah humu umewachana hadi watakumaindi askari wangu [emoji23][emoji23][emoji23]!!! Wale wa "Lazima mwanaume anihudumie" unajiuliza hao wengine ambao hawalilii huduma wana tofauti gani na nyie? Mbona wapo na maisha yao yanaenda poa tu na hela ndio wanapewa hadi wanafanya kuzikataa [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaa wanao mind Ni wale selfish ,maskin wa fikira na kila kitu

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Sex yenyewe inatoka kwa mkataba[emoji23][emoji23][emoji23]! Umpe hela ya saluni ndio akupe tundu.

Hili huwa linanishangaza sana alafu atasema hauzi. Me huwa najitahidi kuhudumia vizuri lakini ikishafikia hiyo hali ya kubaniwa mchezo huwa najitoa maana sifugi mtu.
 
Kalelewa na mama kwa mda mrefu nahisi nayeye kalishwa sumu ya maneno kuhusu wanaume bila kujua ukweli kuhusu wazazi wake kutengana, hajali kuhusu upendo kwa mwanaume na nililijua hilo kwa sababu mengi anayosema reference ilikuwa baba yake.
Kuna akina mama ni wapuuzi sana. Anaongea na binti yake as if anaongea na shost yake. Hajui yale maneno yanamuharibu akili.

Wanawake ni kuwa nao makini sana. Especially hawa wanaolelewa na mama pekee ni wachache sana wanakuwa na akili sawa kichwani ila wengi wao wana akili za bangi na wanakuwa mahasidi na vitendo vyao ni vya kitoto sana.

Mimi nikishaona tu hizo dalili huwa nawatenga sitaki kuwasikia na kama ni mtu anaanza nae huwa nashauri aaachane nao.....
 
Same case as mine. Kuna ng'ombe nilikuwa nayo nikajua ni mtu. Kuisapoti ipate kazi ikaanza niletea hizo swaga za "nije kuwa na nyumba yangu" nikamtazama tu. Mwisho wa siku vituko vyake vikanishinda nikamwambia maisha ni safari, mimi siwezi kuendelea na wewe..... Unanisumbua kichwa....

Izo ng’ombe zipo nyingi mno mwanamke mbinafsi ni hatari kwa kizazi chako mkuu maana hashindwi kutafuta utaalam kwa @Mshana Jr akuvuruge ili achote kwako na aweze kutimiza malengo ya ubinafsi wake.
 
Hili huwa linanishangaza sana alafu atasema hauzi. Me huwa najitahidi kuhudumia vizuri lakini ikishafikia hiyo hali ya kubaniwa mchezo huwa najitoa maana sifugi mtu.
Mie mapenzi ya hivyo siwezi, nataka mwanamke ambaye yuko fully independent. Mapenzi ya kuanza kuumiza kichwa na hela za saluni sifanyagi, mizinga ya hovyo hovyo waiii! Demu awe fully fledged lets meet at the top. Lengo ni mapenzi tu sio kusumbuana.
 
Imagine una date Dem anakuja kwako unamgegeda mkimaliza anakwambia Sina nauli ...hivi Kama Mwanaume huwezi jiongeza Apo ukajua una date na Malaya kigagula kabisa..! Mimi akiniomba nauli hua natoa ile ile siongezi hata Mia yani Kama Ni mia nne ya daladala naenda kuichenji kabisa nafanya hvo ili achukie na tuachane apo Apo ...! Una date Dem ambae hawezi provide hata nauli? Na nyege anazo

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Imagine una date Dem anakuja kwako unamgegeda mkimaliza anakwambia Sina nauli ...hivi Kama Mwanaume huwezi jiongeza Apo ukajua una date na Malaya kigagula kabisa..! Mimi akiniomba nauli hua natoa ile ile siongezi hata Mia yani Kama Ni mia nne ya daladala naenda kuichenji kabisa nafanya hvo ili achukie na tuachane apo Apo ...! Una date Dem ambae hawezi provide hata nauli? Na nyege anazo

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Hahahahahah yani bora iwe after several days. Day one demu nauli ya kuja hana 😂 na ya kuondokea. Aisee sijawahi kuona sehemu yenye wanawake wa hovyo kama hapa Dar!
 
Hahahah most of the times wale wanawake wanaoonesha mapenzi kwetu sio tunaowapendaga by 100% ila katika maisha lazma ujifunze kuridhika sababu mungu huwa hakupi utakacho ila unachostahili tu.

Kwahio mkuu ulikuwa unafungiwa ndani kama mwali tu [emoji23][emoji23][emoji23]! Hio biashara hapana
Kuna mahali alishindwa kumpanga huyo binti. Asingekuwa anafungiwa ndani mda wote. Alikosa munyu ya maneno kwa huyo binti
 
Nilimshauri sana na kujitahidi kumuelekeza abadilike lakini ikashindikana ndani yake ameshajazwa chuki juu ya wanaume tangu akiwa mdogo imagine mpaka anasema hakuna haja ya kuolewa atazaa tu.
Usijenge mazoea na takataka hiyo, acha ipite hivi. Hakunaga mtu anaweza ishi mwenyewe.... Huyo ni malaya. Atakuwa anakunjwa na kupewa mimba hovyo kama mbwa koko halafu age ikienda anaanza sumbua kupewa matumizi na wanaume ili ajikimu.....

Mwisho wa siku anakuja kuwa mzigo kwa watoto wake kwa kisingizio cha kuwa nimewalea kwa taabu mwenyewe bila baba zenu ile hali hapo sasa hivi ana sema kwa kinywa chake kuwa hataki kufanya maisha na mwanaume anataka kuzaa tu.

Toxic feminists nawachukia balaa na huwa nawajua on the spot kwa kauli zao. Na chanzo cha matatizo yao ni wao wenyewe na huwa wanaishia kubaya.
 
Mwanamke hata kama anakupenda kwa viwango vya peponi kuna siku tuu atachoka,imagine mmefunga ndoa since day one mwanamke ndio provider wa kila kitu,miaka inaenda mara paaap mwaka wa 5 wa ndoa hakuna siku mume kamtoa mke out,wakienda vaccation ni mwanamke,bills zoote ni MRS am telling you Extrovert ipo siku hiyo ndoa itakuwa shubiri tuu...

iko hivi mwanamke hata kama unalipwa 10m per month,lakini akipewa zawadi hata ya laki tuu na mumewe au mwanaume ampendae atafurahi mnoo kuliko akienda kujinunulia mwenyewe zawadi,au mume amletee zawadi kwa hela alompa yeye..

Mimi naona mwanaume asiwe too tegemezi kwa mwanamke hatokuwa huru hata siku moja,na ndio asili ya uumbaji kuwa mume kama kichwa cha familia ale kwa uchungu,unapombebesha mwanamke jukumu la kukulisha kwa jasho na kukuzalia kwa uchungu dharau jua inakukaribia.
 
Back
Top Bottom