Mapenzi ni 2 way traffic, stop being bitter


Ndio maana huwa nasema kuachana sio uwanja wa vita baina ya wawili waliojaliwa kupata watoto. Kuna baadhi ya wakiachana yule anaepata fursa ya kuwa karibu zaidi na mtoto kimalezi anatumia fursa hiyo kumjaza mtoto sumu dhidi ya mzazi mwenzake akidhani kuwa anajisafisha ili mtoto asione kuwa huenda yeye ndio chanzo cha wazazi kuachana. Uhalisia ni kuwa anamjenga mtoto vibaya mno na hiyo hali hadi mtoto aje aujue ukweli inamchukua mda sana matokeo yake ndio kama haya kisa mama kaachika basi anamjaza maneno ya sumu mwanae wa kike mwsho wa siku nayeye anaona hakuna haja ya kuja kuolewa na kutulia na familia yake.
 
Azae alee mwenyewe tu mbuzi katoliki huyo [emoji23][emoji23][emoji23]! Sipati picha hio migubu yake mjengoni.
Hawa ndio akishazaa akikutana na mwanaume anaanza kumletea story za kama umenipenda basi umpende na mwanangu.

Huwa nawaambia wewe fala nini, nimepende na mwanao kwani mimi ndio baba ake unadhani ni kazi rahisi kupenda bao la mtu mwingine?! Watu kama hawa dawa yao kama ni katoto ka kike unakalea na namna huwa vinakuwa haraka, kakiiva tu unapita nako, sio damu yangu so hata nikitupia ni sawa tu maana ni mwanamke kwangu.....
 
Kweli kabisa. Wanaume tumshukuru Mungu tuna tabia ya kutoa sana kwa wake zetu lakini hatujawahi kujigamba kwa utoaji huo. Nadhani Mungu ameweka hiki kitu ndani yetu kuwa watoaji zaidi na kutohesabu gharama.
Ila wanawake kwa kweli Mungu awarehemu. Huwa wanahesabu sana utoaji wao. Na wengi wa hawa ni wale wenye roho za kimaskini. Asilimia kubwa unakuta wametoka kwenye familia duni
 
Mie mapenzi ya hivyo siwezi, nataka mwanamke ambaye yuko fully independent. Mapenzi ya kuanza kuumiza kichwa na hela za saluni sifanyagi, mizinga ya hovyo hovyo waiii! Demu awe fully fledged lets meet at the top. Lengo ni mapenzi tu sio kusumbuana.

Kwa bahati mbaya wapo wachache sana sasa mtu anaanza kukubania na hujamuoa, ukioa si ndio itakuwa balaa.
 
Izo ng’ombe zipo nyingi mno mwanamke mbinafsi ni hatari kwa kizazi chako mkuu maana hashindwi kutafuta utaalam kwa @Mshana Jr akuvuruge ili achote kwako na aweze kutimiza malengo ya ubinafsi wake.
Uzuri huwa hawajifichi..... Aisee hakuna raha kama ukiwa na binti ambaye mama yake anaishi na baba yake au kama alilelewa na mama pekee basi huyo mama ameshafariki huwa inakuwa ahuweni sana maana akili chafu anakuwa hana.

Ila ndio ukute mama ametengwa na baba halafu amelea binti mwenyewe na kila mtoto ana baba yake....

Aaaaaaaaah hapo kimbia mapema sana. Takataka za hivi huwa zinakuwa na akili chafu sana...
 
Your damn rite Ms Parker 😍! Kikubwa nilichokuwa namaanisha mume lazma awe anajishughulisha tu na ku earn hata kidogo japo awe na mchango wake kwa familia ila mke akiwa ana earn zaidi na kumpa mashavu mumewe walimwengu wanakuwaga wana maindi.

Mke ananunua magari lake na la mume wake. Wanakula ma Vaccations na kujenga maisha with full peace ila walimwengu wakiona hili wanamaindi? Oh jamaa mario? Mara fundi mbao tu ila mkewe ndio kila kitu! Kamfungulia Workshop jamaa boya tu.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwanini haya mambo jamani? Kwani mwanaume hatakiwi kupewa shavu na wife?
 
Ndo maana Extrovert kasema mapenzi Ni two way traffic ...yani mpeane kwa kila Hali
Kwenye mapenzi ikiwa upande mmoja unaumia Sana kuliko upande mwingine mnakua mnatengeneza bomu ambalo Ni hatari Sana

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Nyie farijianeni hapa weeeee

Ila mwanaume tafuta hela.......

Hakikisha una hela.....

Mkeo atajazia hapa na pale..... ila ukitegemea hela ya mke 100% utasimulia......

Nature haijamfanya mwanamke kuwa provider........



Tafuteni hela ndugu zangu
 
H Hizi zinakuwaga kauli za kishujaa tu af unakuta mtu wa hivyo hata form 6 hajakanyaga.
Unajiuliza huyu mtua anajiamini nini?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Life likishamchapa na mtoto juu mbio ustawi kudai matunzo!
 
wanapewa mashavu sana tuu πŸ˜‚ πŸ˜‚ sema wakati mwingine wanajisahau wanaona no need kufanya kitu wife atarekebisha,.mbaya sana hii
 
Ndo maana kipindi cha mahusiano ni wakati mzuri Sana wa kusomana tabia zenu kabla hamjaingia ndoani. Mi nadhani kudate zaidi ya miaka miwili ni afya sana.
Watu wanataka miezi 7 tu mpelekane madhabahuni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wanaita uchumba sugu mkika for more than a year. Trust me huwezi mjua mwanamke kama hukai nae under one roof for more than 6 months. Na asijue una mpango wa kumuoa pia ili aishi on her true colors.
 
wanapewa mashavu sana tuu πŸ˜‚ πŸ˜‚ sema wakati mwingine wanajisahau wanaona no need kufanya kitu wife atarekebisha,.mbaya sana hii
Hahahahahah sasa kujisahau manaake anaacha na kazi kabisa au
 
Hahahahahah yani bora iwe after several days. Day one demu nauli ya kuja hana [emoji23] na ya kuondokea. Aisee sijawahi kuona sehemu yenye wanawake wa hovyo kama hapa Dar!
Dar kuna shida kubwa hili eneo. Wanawake wengi wadangaji hawana shughuli wala kazi maalumu za kujiingizia vipato. Hawa ndo wale ukikutana nao wataanza kulist matatizo yao lukuki kabla hujaweka ajenda yako mezani.
Wa namna hii akikuomba hela kama anataka elfu 20 atakwambia ntumie na ya kutolea.
Kuna wakati unawaonea huruma kwa kweli. Unatuma tu kisha unakuwa ushajua una deal na mtu wa namna gani
 
Bulaza unakaza sana mzee [emoji28][emoji23][emoji1787]
 
Unajua wanawake huwa katika hii mijadala mnatabia ya kubadili badili hoja ili mradi muonekane mpo right.

Topic hapa inahoji tabia ya mwanamke kutojitoa katika mahusiano sio mwanaume kumhudumia mwanamke.

Me sijaona uhusiano mwanaume awe na hela ya uhakika halafu asimhudumie mwanamke wake hapo kutakuwa na tatizo ila its natural mwanaume ni mtoaji kiukweli na hilo nadhani unajua maana wanaume huwa ni waungwana wanatoa hata kuzidi akiba na uwezo wake ili tu kupata attention ya huyo mwanamke na huishia kudharauliwa.

Rudi kwenye hoja, swala la mwanamke kuwa msaada kwa mwanaume ambae amechacha hana mbele wala nyuma, yeye kumsapoti in the name of true love, wewe kwako imekaaje?!

Unaweza pendana na mwanaume ambaye hana kitu yupo at his lowest based on life difficult circumstances ambazo zipo nje ya uwezo wake kuzicontrol?!
 

Ni kweli kabisa mkuu najaribu kujiuliza hivi hawa wanaosema kuwa watazaa na kulea watoto kivyao huwa wanawaza future generation zao zitakuwaje maana malezi ndio kila kitu.
Kuna possibility kubwa sana ya mtoto kuharibikiwa na kuwa na tabia ambazo tangu akikua anaziona kwa mlezi wake sasa ni kujiuliza mtu unajenga kizazi gani?
Hakuna mtoto anaependa kukulia kwenye malezi ya mzazi mmoja ni kwa sababu tu huwa inatokea kutokana na sababu tofauti tofauti.
Mtu mwenye mentality hii ndani yake hawezi kusema kuwa anawapenda watoto wake nikamuelewa kamwe, yani uzalishwe tu ukalee mwenyewe watoto bila kujali malezi ya baba yao na yupo hana shida yeyote.
 
Mengine yote umeeleza na ujafafanua vizuri sana.
Na paragraph ya mwisho iliokaa kwa mtindo wa swali, jibu lake lipo wazi kwenye Bible na Quran zimeelezea kwa uwazi kabisa majukumu na wajibu wa Mke kwa Mume wake na Mume kwa Mke wake
 
jibu ni NDIO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…